ILIKUWA NA MAENDELEO ENDELEVU AFRIKA INAHITAJI UWEKEZAJI ZAIDI- BAN KI MOON
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akifungua mkutano wa siku moja wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo siku nzima ya Alhamisi liLIjadili ajenda ya uwekezaji kwa Afrika na mchango wake kwa Maendeleo endelevu. Katika hotuba yake, Ban Ki Moon alisema Afrika isiridhike na ukuaji wa jumla wa uchumi wake ambao umekuwa ni mzuri bali inahitaji kuwekeza zaidi ili uwekezaji huo uweze kuchangia katika kuleta maendeleo endelevu, kuwaondolea watu wake umaskini, kukuza ajira na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziHUBIRINI AMANI, USALAMA, DEMOKRASIA NA MAENDELEO ENDELEVUWATU -BAN KI MOON
10 years ago
Vijimambo17 Dec
BAN KI MOON ATAKA USHIRIKIANO ZAIDI BAINA YA UN NA AU
Na Mwandishi Maalum, New YorkKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, amesema, ushirikiano kati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika operesheni za ulinzi wa Amani umekuwa wa mafanikio makubwa katika urejeshwaji wa hali ya amani na utulivu katika maeneo yenye migogoro.Hata hivyo amesema pamoja na mafanikio hayo kuna umuhimu wa ushirikiano huo kuboreshwa zaidi na kuwa wenye tija .Alikuwa akizungumza wakati wa majadiliano ya...
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Ban Ki Moon ziarani Pembe ya Afrika
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Mkutano wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika waanza leo Victoria Falls-Zimbabwe
Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa mkutano wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe. Ambapo amezitaka nchi za Afrika kuendelea kushikamana katika kukabiliana na mabadiuliko ya tabianchi pamoja na ukuaji wa uchumi. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog)
Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani...
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Wataalamu na Wadau wa Mazingira waendelea kujadili mada katika mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu Afrika
Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe wakifuatilia mada leo Oktoba 29, siku ya pili ya mkutano huo. Tayari mada mbalimbali za kitaalamu juu ya mabadiliko ya tabianchi na mambo ya kimikakati ya kukabiliana na mazingira, hali ya hewa na mengine yanaendelea kujadiliwa muda huu. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[VICTORIA FALLS-ZIMBABWE]...
9 years ago
Raia Mwema06 Nov
Z’bar inahitaji umakini zaidi
UAMUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha, kufuta Uchaguzi Mkuu wa vis
Mwandishi Wetu
11 years ago
BBC9 years ago
BBCSwahili24 Aug
Ban Ki Moon ziarani Nigeria
10 years ago
Dewji Blog29 Oct
Ban Ki Moon awafunda manesi na madaktari
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon.
Na Mwandishi wetu
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon amezitaka nchi duniani kuacha tabia ya unyanyapaa kwa madaktari na manesi waliofanya kazi katika nchi zilizoathiriwa na ugonjwa wa Ebola na kuwalazimisha kwenda karantini pindi warejeapo nyumbani.
Akizungumza katika mji mkuu wa Ethiopia Adiss ababa, Ban amewaelezea wafanyakazi wa namna hiyo kuwa ni wa kipekee mno, marafiki wazuri na si vyema kuwatenga.
Kauli hiyo inakuja baada ya...