ILIKUWA NISHEEDAH
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM11 Aug
11 years ago
CloudsFM24 Jul
11 years ago
Habarileo28 May
Mwakyembe- Reli ilikuwa ICU
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema bajeti ya wizara hiyo ya mwaka 2014/15 iliyopitishwa juzi bungeni, itaifanya reli ianze kukimbia.
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Ilikuwa ajali au ndege ilidunguliwa?
Ndege ya Malaysia iliyoanguka Alhamsi ilikuwa imewabeba abiria 298.Inadaiwa kudunguliwa na wapiganaji wa Ukraine
11 years ago
Tanzania Daima19 Jan
Wassira: Operesheni Tokomeza ilikuwa na madhara
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) na Mbunge wa Bunda, Steven Wassira, amefunguka na kusema kuwa hakuna mtu yeyote serikalini mwenye akili timamu anayeweza kukubali kuwa Operesheni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvTtQjhT*uF-GLXusN-I-nCKsEMEdxUcmKlEPoOeOCoHafRKrHYykV2RAJ6**O*cf4HYV--l9sfarS1zIkCzgHQY/Mboni.jpg)
DAKTARI: MBONI MASIMBA ILIKUWA AFE
Imelda mtema
Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha The Mboni Show kinachorushwa kupitia Televisheni ya Taifa ya TBC1, Mboni Masimba, amejikuta akiangua kilio kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, alipotembelea wodi ya wazazi na kusimulia jinsi ambavyo daktari alimweleza kuwa ilikuwa kiduchu tu afe wakati wa kujifungua hivi karibuni. Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha The Mboni Show, Mboni Masimba akihojiwa katika...
9 years ago
BBCSwahili20 Dec
Air France: 'Bomu' ilikuwa bandia
Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege la Air France amefutilia mbali tahadhari ya bomu iliyosababisha ndege ya kutua Kenya kuwa ni ya uongo
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Mwandosya: Kumkejeli Warioba ilikuwa mbinu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais asiye na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya amesema kutumia lugha ya kejeli dhidi ya mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ilikuwa mbinu ya kupata ushindi katika majadiliano wakati wa Bunge Maalumu la Katiba.
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-TA50COiRrXg/VJgUEGjp6VI/AAAAAAAABvo/XpVwVEE2-ew/s72-c/1.jpg)
LIVERPOOL, ARSENAL ILIKUWA SHUGHULI PEVU
![](http://3.bp.blogspot.com/-TA50COiRrXg/VJgUEGjp6VI/AAAAAAAABvo/XpVwVEE2-ew/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-W1ldxO-LYhw/VJgUE8qJKYI/AAAAAAAABvw/O0mws8_sRzI/s1600/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-cVjD-JsVMkE/VJgUFxnMUuI/AAAAAAAABv4/j9JXHoZrhZU/s1600/3.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania