IN MY SHOES" -MAMA DIAMOND
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Sep
Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz
Nyuso za wazazi wa mastaa wawili wa Afrika, Diamond na Zari zilionekana zenye furaha mbele ya mjukuu wao Lattifah Nasib a.k.a Tiffah katika picha waliyopiga nyumbani kwa Diamond ambapo mwenyewe anapaita ‘state house’. Zari amepost picha ya mama yake mzazi akiwa amembeba Tiffah na pembeni akiwa na mama yake Diamond, kwa pamoja wanaonekana wakizungumza jambo […]
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s72-c/meninah.jpg)
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s640/meninah.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GLIyeGSyqyw/VIUgIflrgUI/AAAAAAAG144/8gTAY5oayvg/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
MAMA BISHANGA AMPONGEZA DIAMOND
![](http://1.bp.blogspot.com/-GLIyeGSyqyw/VIUgIflrgUI/AAAAAAAG144/8gTAY5oayvg/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h04tScqf3LbCH33paT4F2ykljuHykgMtbLZ6SOdLaiMdfX0fXnfrkvFWZ1o5lvkkmpBcJq3HZcuUXjdGVhZoptfcjeP4HDET/MamaDiamond.jpg)
MAMA DIAMOND AMKIMBIA ZARI
KWELI maisha si popote! Msemo huu wenye kinyume na ule usemao maisha ni popote umedhihirika baada ya hivi karibuni mapaparazi wetu kutonywa kuwa, mama wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kasim amekuwa akimkimbia mkaza mwanaye, Zarinah Hassan ‘mama Tiffah’ ndani na kwenda kukaa nje kutokana na Zari kujikita sana kwenye mitandao ya kijamii hivyo kutokuwa na mawasiliano Soma...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zNsEY*-CrKPkwxi5-2yE-m76BAXCZl9tkS4bRtuSNWp8*NBDXmTQmIAG2wIxoSWJxvUUfY5xUZfHXVdYmqZLwsUJFJx589r/diamond.jpg?width=650)
MAMA DIAMOND AMKARIBISHA WEMA
Brighton Masalu MAMBO yamekuwa mambo! Siku chache baada ya mzazi mwenza wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutimka Bongo na kuelekea kwake nchini Afrika Kusini ‘Sauz’, mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameibuka na kusema hana kinyongo na mpenzi wa zamani wa mwanaye, Wema Sepetu ‘Madam’ na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiLvCHt-LY*gSrFEXBQyE3b4mlIZS6GP5AphT8Ax8qH78MDrhiY2zCCLvqlaj*f0RQASjOtqTE77q-TqLtXgnOVB/Diamond.jpg?width=650)
AFYA YA MAMA DIAMOND, TUMUOMBEENI!
Musa Mateja
TUMUOMBEE! Afya ya mama mzazi wa msanii nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz, Sanura Kassim ‘Sandra’ bado si shwari juzikati hali yake ilibadilika ghafla na kuilazimu familia yake kumkimbiza katika Hospitali ya TMJ iliyoko Mikocheni jijini Dar ambako amepewa kitanda, Ijumaa limetonywa. Msanii nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz akiwa na mamaake. Chanzo cha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkzCVetFlKXuECA8A4apLO-UXib2YOlHBoxtOtz27vPKNrDaxhwlQGS6A*wINpnNhm7WjiWdzuyaxLVisTfxkKo3/penny.jpg)
MAMA: WANAJITONGOZESHA KWA DIAMOND
Stori: shani ramadhani  MAMA mzazi wa nyota wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ amesema baadhi ya wasichana wanajitongozesha kwa mwanaye kwa kuwa ni mtu maarufu.
Mama Diamond amesema wasichana wamekuwa na tabia ya kutumia hata namba yake ya simu na kutuma picha za utupu kwake na kwa mwanaye. Mama mzazi wa msanii nyota wa muziki, Nasibu Abdul...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania