Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA: WANAJITONGOZESHA KWA DIAMOND

Stori: shani ramadhani   MAMA mzazi wa nyota wa muziki wa kizazi kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ amesema baadhi ya wasichana wanajitongozesha kwa mwanaye kwa kuwa ni mtu maarufu.
Mama Diamond amesema wasichana wamekuwa na tabia ya kutumia hata namba yake ya simu na kutuma picha za utupu kwake na kwa mwanaye. Mama mzazi wa msanii nyota wa muziki, Nasibu Abdul...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.

Meninahhabari mpya zinasema kuwa vikao vya harusi ya Diamond na Meninah ambaye ni mwanamuziki wa Bongo fleva vimeanza kimya kimya nyumbani kwa mama Diamond huku mmoja wa wahudhuriaji wakiwa ni mama Diamond mwenyewe na Queen Darling ambaye ni dada wa Diamond.Kwa mujibu wa Baabkubwa magazine paparazzi wake alienda nyumbani kwa Diamond hivi juzi kati kufanya nae mahojiano hata hivyo hakumkuta Diamond lakini alimkuta mmoja wa watu wake wa karibu ambaye yupo pia upande wa Wema Sepetu.Chanzo...

 

10 years ago

GPL

ZARI ALALA KWA MAMA DIAMOND

Stori: Mwandishi Wetu/ Amani
IMEFICHUKA! Mrembo wa Uganda ambaye kwa sasa ndiye ‘usingizi’ wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ hivi karibuni alitua Bongo na kulala nyumbani kwa mama wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’, Sinza-Mori jijini Dar. Mrembo wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’. Chanzo makini kilicho karibu na familia ya Diamond...

 

9 years ago

GPL

MAMA DIAMOND AMFUNIKA ZARI KWA MBIZI

Imelda mtema MAMA’KE Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameonesha umahiri mkubwa wa kuogelea kiasi cha kumfunika mkwe wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenye bwawa la kuogelea lililopo nyumbani kwa Diamond, Tegeta-Mivumoni jijini Dar.  ....Soma zaidi===>http://goo.gl/KqQxXf

 

11 years ago

GPL

SLIM:MASTAA WA KIKE WANAJITONGOZESHA

Na Gladness Mallya
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar amefunguka kuwa mastaa wengi wa kike Bongo Movies wanajitongozesha wenyewe. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Slim Omar. Akifunguka kwa sharti la kutowataja majina wahusika, alisema anayo listi ndefu ya mifano ya wasanii ambao wanapenda kujitongozesha hivyo ni vyema wakaacha maana siyo tabia nzuri.… ...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mama Diamond na mama Zari walipokutana kwenye ‘state house’ ya Platnmuz

Nyuso za wazazi wa mastaa wawili wa Afrika, Diamond na Zari zilionekana zenye furaha mbele ya mjukuu wao Lattifah Nasib a.k.a Tiffah katika picha waliyopiga nyumbani kwa Diamond ambapo mwenyewe anapaita ‘state house’. Zari amepost picha ya mama yake mzazi akiwa amembeba Tiffah na pembeni akiwa na mama yake Diamond, kwa pamoja wanaonekana wakizungumza jambo […]

 

10 years ago

CloudsFM

Baada ya kuugua kwa miezi kadhaa,mama yake Diamond aendelea vizuri

Mama mzazi wa Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Sanura Kassim 'Sandra', amerejeshwa Bongo kutoka India ambapo afya yake imetengemaa. Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya familia ya jamaa huyo, kililieleza gazeti hili kwamba, tayari Sandra amesharejea katika hali yake ya kawaida na ndiyo maana akarudi Bongo baada ya kulazwa hospitalini nchini India kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa kupooza.
Mwanafamilia huyo alisema kwamba, Diamond na mama yake walirejea nchini...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND WIMBO WAKE WA KWANZA ALIUREKODI KWA FEDHA ZA KUMTAPELI PETE MAMA YAKE

Mkali wao katika Bongo Fleva, 'Diamond Platinumz' akiwa na Bi. mkubwa wake. WIKI iliyopita tuliishia pale Diamond alipokuwa hana kazi ya kufanya nyumbani hivyo alianza kutafuta vibarua mbalimbali vya kumuwezesha kupata riziki ya siku.Miongoni mwa kazi hizo ni kuuza mitumba, kuweka mafuta kwenye magari (vituo vya mafuta), kupiga picha, kupigisha simu na kazi za kwenye viwanda.Endelea sasa… ACHEZA KAMARI
Wakati mwingine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani