Indonesia: 141 waliaga dunia
Indonesia inasema kuwa idadi ya watu waliofariki huko Medan katika ajali ya ndege ya kijeshi imepanda na kufikia watu 141.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Jul
Air Algerie AH5017: Abiria wote waliaga
9 years ago
Million For The Dar Es Salaam Bus Rapid Transit ...02 Oct
AfDB Approves US $141.71
AllAfrica.com
The Board of Directors of the African Development Bank Group approved on Wednesday, September 30, 2015, two loans totaling US $141.71 million to finance the second phase of the Dar es Salaam Bus Rapid Transit (BRT) System Project. The US ...
10 years ago
Habarileo17 Jun
9,141 wa Katavi wamdhamini Pinda
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ambaye pia ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amepata wadhamini 9,141 baada ya kuhitimisha zoezi hilo katika mkoa wa Katavi.
10 years ago
Habarileo13 Jun
Watu 141 wakamatwa katika msako
JESHI la Polisi nchini kupitia Kitengo cha Interpol limewakamata watu 141 kwa makosa mbalimbali kupitia operesheni maalumu iliyofanyika kwa siku mbili kuanzia Juni 4 hadi 5, mwaka huu ikiwa imefanyika kwa wakati mmoja katika nchi 25 wanachama barani Afrika.
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU APATA WADHAMINI 9,141 KATAVI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
5 years ago
MichuziVIJANA 141 WAHITIMU MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA SHINYANGA
5 years ago
Michuzi
BILIONI 51 KUWASHA UMEME VIJIJI 141 MKOANI KAGERA KUFIKIA JUNI 30.
Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na kwa kushirikiana na Wakala wa Umeme Vijijini (REA), ipo mbioni kuhakikisha Vijiji vyote 141 Mkoani Kagera vinapata huduma ya Nishati ya Umeme ndani ya siku chache kuanzia sasa hii ni kutokana na Mradi huu wa usambazaji Umeme Vijijini Mkoani Kagera kuendelea Vizuri.
Akizungumza muda mfupi baada ya kutembelea Kijiji cha Kyamalange kilichopo Tarafa Bugabo, na kujionea jinsi mradi huo unavyoendelea Mhandisi Jones F. Olotu...
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Walanguzi 9 kuuawa Indonesia