Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Indonesia yasitisha utafutaji wa Airasia

Indonesia imesitisha utafutaji wa ndege ya AirAsia hadi kesho iliopotea na takriban abiria 160 waliokuwa wakielekea Singapore

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AIRASIA QZ8501: MIILI YAANZA KUWASIL INDONESIA

Wanajeshi wakiwa wamebeba miili ya mwanzo ya watu waliokufa katika Ndege ya AirAsia. MIILI ya mwanzo ya watu wawili waliokuwa kwenye Ndege ya AirAsia QZ8501 imewasili leo jijini Surabaya, Indonesia ambapo ndugu na jamaa wanasubiri kwa utambuzi. Ndege hiyo aina ya Airbus A320-200, ilipotea Jumapili iliyopita ikiwa imebeba watu 162 ikitokea Surabaya kwenda Singapore, ambapo baadhi ya miili imeanza kupatikana jana katika Bahari ya...

 

10 years ago

StarTV

Ndege iliyopotea, Utafutaji waendelea.

Zoezi la anga na majini la utafutaji wa ndege ya AirAsia aliyoanguka ikiwa na watu 162 baada ya kuwepo kwa dhoruba katika pwani ya eneo la Borneo siku ya jumapili imeendelea.

Maafisa wa Indonesia wanasema japo zoezi hilo limeendelea lakini linakabiliwa na upinzani kutokana na hali mbaya ya hewa.

Kufuatia kupatikana kwa vipande vya mabaki ya ndege hiyo siku ya jumannne, kiongozi wa taasisi ya uokoaji na utafutaji amesema miili mitatu imepatikana hadi sasa kutoka katika eneo la bahari ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege iliyopotea: Utafutaji wachelewa

Hali mbaya ya hewa imechelewesha zoezi la anga na majini la utafutaji wa ndege ya AirAsia aliyoanguka ikiwa na watu 162.

 

10 years ago

Mwananchi

Bei ya mafuta kuathiri utafutaji wa gesi Tz

Anguko la bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia huenda likaifanya Serikali kupitia upya baadhi ya mikataba ya utafutaji wa mafuta na gesi ili kuwavutia wawekezaji wengi zaidi.

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO KWA WAOMBAJI WA LESENI ZA UTAFUTAJI WA MADINI

Kamishna wa Madini anawataarifu wenye maombi ya leseni za utafutaji wa madini yaliyoainishwa kwenye jedwali hapa chini kufanya marekebisho ya maombi yao ndani ya siku thelathini (30) tangu tangazo hili kutolewa. Maombi ambayo yatakuwa hayajarekebishwa ndani ya kipindi kilichotajwa yatakataliwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini ya mwaka 2010.

 

10 years ago

StarTV

Hali ya hewa kikwazo utafutaji miili ajali ya ndege Ufaransa.

Polisi nchini Ufaransa wameeleza kuwa hali mbaya ya hewa itakwamisha zoezi la utafutaji miili ya watu wapatao mia moja na hamsini katika eneo la ajali ya ndege na hivyo kuchukuwa siku kadhaa.

Siku ya jana ndege ya Ujerumani ilianguka katika eneo la milima ya Alps huko Ufaransa na kuua watu wote wapatao mia moja na hamsini waliokuwemo.

Waathirika wa ajali hiyo wanatoka nchi mbali mbali ambapo arobaini na tano ni wahispania huku zaidi ya sitini wakiwa ni wajerumani.

Kumi na sita, kati yao...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA KUANIKIZA MAFANIKIO YA Mahalia za Utafutaji Fedha (LFI) KWA MATAIFA manane

DSC_0012Mkuu wa ushauri wa ufundi wa Mfuko wa Umoja wa mataifa wa Ukuzaji Mitaji (UNCDF), Peter Malika akizungumza na washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa miradi chini ya programu ya Jitihada za Mahalia za Utafutaji Fedha (LFI) unaosimamiwa na mfuko huo katika hoteli ya Serena mjini Dar es Salaam leo.
Na Mwandishi wetuMATAIFA manane  yaliyopo katika nchi zinazoendelea zitaanikizwa mafanikio ya Tanzania katika utekelezaji wa programu ya Jitihada za Mahalia za Utafutaji Fedha (LFI) inayosimamiwa na ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya AirAsia yapotea na abiria 160

Shirika la ndege la AirAsia linasema kuwa limeanzisha shughuli ya kuitafuta ndege yake iliyopoteza mawasiliano

 

10 years ago

GPL

MKIA WA NDEGE YA AIRASIA QZ8501 WAPATIKANA

Mchoro wa mkia wa ndege ukionyesha kifaa cha kutunza kumbukumbu za ndege 'black box'. Picha ikionyesha mabaki ya ndege ya AirAsia kutoka baharini.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani