Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege iliyopotea: Utafutaji wachelewa

Hali mbaya ya hewa imechelewesha zoezi la anga na majini la utafutaji wa ndege ya AirAsia aliyoanguka ikiwa na watu 162.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Ndege iliyopotea, Utafutaji waendelea.

Zoezi la anga na majini la utafutaji wa ndege ya AirAsia aliyoanguka ikiwa na watu 162 baada ya kuwepo kwa dhoruba katika pwani ya eneo la Borneo siku ya jumapili imeendelea.

Maafisa wa Indonesia wanasema japo zoezi hilo limeendelea lakini linakabiliwa na upinzani kutokana na hali mbaya ya hewa.

Kufuatia kupatikana kwa vipande vya mabaki ya ndege hiyo siku ya jumannne, kiongozi wa taasisi ya uokoaji na utafutaji amesema miili mitatu imepatikana hadi sasa kutoka katika eneo la bahari ya...

 

11 years ago

GPL

SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI

Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Picha ya 'mabaki ya ndege' iliyopotea

Kuna taarifa kuwa China imeanza kuchunguza picha mpya ya kitu kama mabaki ya ndege ya Malaysia iliyopotea.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndege iliyopotea kuendelea kutafutwa

Shughuli ya kutafuta ndege ya AirAsia ambayo ilipotea jana Jumapili imeendelea leo tena baada ya zoezi hilo kusitishwa kwa muda.

 

11 years ago

GPL

NDEGE ILIYOPOTEA IMEANGUKIA BAHARI YA HINDI

Waziri Mkuu wa Malaysia Najib Razak akitangaza leo juu ya utafiti wa rada kuonyesha kuwa ndege iliyopotea imeangukia katika bahari ya Hindi.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Malaysia kuitafuta ndege iliyopotea tena

Malaysia imeanza awamu nyingine ya kuisaka ndege yake iliyopotea MH-370 kusini mwa bahari ya Hindi.

 

10 years ago

StarTV

Hali ya hewa kikwazo utafutaji miili ajali ya ndege Ufaransa.

Polisi nchini Ufaransa wameeleza kuwa hali mbaya ya hewa itakwamisha zoezi la utafutaji miili ya watu wapatao mia moja na hamsini katika eneo la ajali ya ndege na hivyo kuchukuwa siku kadhaa.

Siku ya jana ndege ya Ujerumani ilianguka katika eneo la milima ya Alps huko Ufaransa na kuua watu wote wapatao mia moja na hamsini waliokuwemo.

Waathirika wa ajali hiyo wanatoka nchi mbali mbali ambapo arobaini na tano ni wahispania huku zaidi ya sitini wakiwa ni wajerumani.

Kumi na sita, kati yao...

 

11 years ago

GPL

PICHA ZAONYESHA MABAKI YA NDEGE ILIYOPOTEA BAHARINI

Picha ya Satelite ikionyesha kinachodhaniwa kuwa mabaki ya MH370. Waziri wa Ulinzi wa Malaysia ambaye pia ni  Kaimu waziri wa Usafirishaji, Hishammuddin Hussein akionyesha picha zinazodaiwa kuwa mabaki ya ndege iliyopotea.…

 

11 years ago

GPL

MCHUMBA WA RUBANI WA NDEGE ILIYOPOTEA AJICHIMBIA HOTELINI

Mchumba wa Fariq Abdul Hamid, Nadira Ramli. Mmoja wa rubani wa ndege ya Malaysia iliyopotea, Fariq Abdul Hamid.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani