PICHA ZAONYESHA MABAKI YA NDEGE ILIYOPOTEA BAHARINI
![](http://api.ning.com:80/files/nGTcCv7erQJhIZnZGANP4SCl62Z8NbRKbbPnvZZnsIpwCCMlvhE*0gjv8Sb61s6NQek9JNCaq9Yi5cqpZcsQBR7LpVsmmStV/article25897231C93936900000578875_634x580.jpg?width=650)
Picha ya Satelite ikionyesha kinachodhaniwa kuwa mabaki ya MH370. Waziri wa Ulinzi wa Malaysia ambaye pia ni Kaimu waziri wa Usafirishaji, Hishammuddin Hussein akionyesha picha zinazodaiwa kuwa mabaki ya ndege iliyopotea.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Mar
MH370:'Picha zaonyesha mabaki baharini'
Malaysia imesema kuwa picha mpya za Satelite zimeonyesha vitu 122 baharini vinavyodhaniwa kuwa mabaki ya ndege yake iliyotoweka zaidi ya wiki mbili zilizopita.
11 years ago
BBCSwahili22 Mar
Picha ya 'mabaki ya ndege' iliyopotea
Kuna taarifa kuwa China imeanza kuchunguza picha mpya ya kitu kama mabaki ya ndege ya Malaysia iliyopotea.
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Mabaki kama ya ndege yaonekana baharini
Uchina imechapisha picha zilizonaswa na mtambo wake wa satelite zikionyesha mabaki ya kitu kipana kikielea katika bahari ya South China
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovBLFL3dB9vXgRDziohTBtc2sA9rbvs0zsXHOenR*jKQsvIk9YjnTQ85V5HQz0d4kQXpnyIcwS9uMVNxbvj4B7UX/ndege4.jpg?width=650)
CHINA YASEMA IMEONA KITU KATIKA BAHARI YA HINDI KINACHODHANI NI MABAKI YA NDEGE ILIYOPOTEA YA MALAYSIA
Picha iliyotolewa na vyombo vya habari vya China vikionyesha kitu kipya kilichogunduliwa na satellite za nchi hiyo kikielea katika Bahari ya Hindi ambacho kinahisiwa huenda kikawa na uhusiano na ndege ya Malaysia iliyopotea. Picha za Satellite kutoka kituo cha utafiti cha Marekani kikionyesha eneo ambako msako…
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Picha sio za mabaki ya ndege ya Malaysia
Serikali ya Malaysia imesema kuwa picha za Satelite za kile kinachodhaniwa kuwa vifusi vya ndege ya Malaysia zilitolewa kimakosa na wala sio za ndege hiyo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhmxEpcM5NKRVYcj176nP8jC-vTe3qNFifzWYnR5EQTf7ojf7oMxlcw7TcPYwDNzLwhsgz7N*Z-WuHrnkLrGeUNq/MH3701.jpg?width=650)
PICHA SI ZA MABAKI YA NDEGE YA MALAYSIA - MAOFISA WA MALAYSIA
Waziri wa ulinzi Hishammuddin Hussein (katikati) akikanusha madai ya ndege kukaa masaa manne hewani kabla ya kupotea.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*X48WsmNc23pmAB6oPcDv5ITM4Ut6B81jkUWsZQnbW89vUcnUyeltPn5O34Ge4z1GYQDZKo3PdFtKSkDX--vxEg/article25841331C69423300000578784_634x422.jpg?width=650)
SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI
Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur. Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...
10 years ago
Vijimambo30 Jul
MABAKI YA NDEGE YANAYOSEMEKANA NI YA NDEGE YA MALAYSIA
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/07/150307074359_mh370_512x288_non_nocredit.jpg)
Mamlaka ya usafirishaji nchini Ufaransa imesema inachunguza mabaki ya ndege ya yanayodaiwa kupatikana ndani ya Bahari ya Hindi yanachunguzwa ili kubaini kama ni ya ndege ya Malaysia ya MH370 iliyopotea bila kuwa na taarifa zozote kwa muda mrefusasa.
Taarifa kutoka Marekani zinasema wachunguzihao ambao wameona picha za mabaki hayo wana uhakika mkubwa kwamba ni ya ndege hiyo ya Malaysia ambapo mabaki hayo ni sehemu ya bawa la ndege.
Hata hivyo,...
10 years ago
Vijimambo15 Jan
Picha zaonyesha uharibifu Nigeria
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/15/150115092611_baga_640x360_epa_nocredit.jpg)
Picha za Satelite za miji ya Nigeria ambayo imesahambuliwa na Boko Haram, zinaonyesha uharibifu mkubwa uliofanyika na kuzua hofu kwamba idadi kubwa ya watu wameuawa na wapiganaji hao.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa shirika la Amnesty International.
Picha hizo zinaonyesha zaidi ya nyumba 3,700 zikiwa zimeharibiwa katika miji ya Baga na Doron Baga mwezi huu pekee.
Serikali ya Nigeria imekanusha madai...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania