Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INDONESIA YAWAPIGA RISASI WATUHUMIWA 8 WA DAWA ZA KULEVYA

Majeneza yenye miili ya watuhumiwa nane wa madawa ya kulevya baada ya kuuawa kwa kupigwa risasi. Viongozi wa Kundi la Bali Nine, Andrew Chan na Myuran Sukumaran nao ni miongoni mwa waliopigwa risasi usiku wa manane. Waombolezaji wakimzika Zainal Abidin raia wa Indonesia katika eneo la Cilacap leo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Watuhumiwa watatu akiwemo raia wa Nigeria wa Dawa za kulevya wapadishwa kizimbani kisutu leo

WAFANYABIASHARA watatu akiwemo Raia mmoja wa Nigeria, David Chukwu 38 Mkazi wa Masaki wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha kilogramu 268.50 za dawa za kulevya na kutakatisha zaidi ya sh. Milioni 150.

Mbali na Chukwu washtakiwa wengine ni Isso Lupembe 49 mkazi wa Mbezi Luis na Allistair Mbele 38 anayeishi Mbezi Kibanda cha Mkaa.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na mawakili wa serikali waandamizi , Veronika Matikila, na...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Wapakistan 12 Wanaokabiliwa na Kesi ya Kusafirisha Dawa za Kulevya Wameomba Wapigwe Risasi Baada ya Kesi yao Kuzungushwa Kisutu ‪

Raia 12 wa Iran na Pakistan wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroin kilo 200.5, zenye thamani ya sh. bilioni 9.02, wamelalamikia kucheleweshwa kwa kesi yao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. Washtakiwa hao ni Kapteni Ayoub Mohamed, Buksh Mohamed, Fahiz Dauda, Khalid Ally, Abdul Somad, Saeed Sahury, Bashir Afraz, Morad Gwaram na Hazir Azad, wote raia wa Iran ambao walikamatwa kwenye Bahari ya Tanzania.
Wengine ni Buksh Mohamed,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

11 years ago

GPL

MAJAMBAZI YAWAPIGA RISASI WACHINA NA KUWAPORA FEDHA

Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la tukio. Majambazi yamewapiga risasi raia wa China na kuwapora begi linalodaiwa kuwa na fedha hivi punde eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Bado haijafahamika ni kiasi gani cha fedha zilizoporwa na majambazi…

 

10 years ago

BBCSwahili

Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya

Hakuna "uhusiano wa moja kwa moja" kati ya adhabu kali na hatua za kukomesha matumizi ya dawa za kulevya.

 

11 years ago

Mwananchi

Idadi ya Watuhumiwa shehena za risasi yaongezeka

Idadi ya watuhumiwa wa ujambazi waliokamatwa na wananchi wa Kijiji cha Rung’abure, wilayani Serengeti wakiwa na risasi 397 za SMG imeongezeka na kufikia watatu.

 

10 years ago

GPL

WATUHUMIWA WA MADAWA YA KULEVYA MWAKA 2010 WATINGA KISUTU

Watuhumiwa hao wakitolewa mahabusu kwenda kizimbani kusikiliza kesi yao, hata hivyo haikusikilizwa kwa sababu hakimu hakuwepo.
Mtuhumiwa Leila aliyejitanda nguo akizungumza na askari magereza mahakamani hapo.…

 

10 years ago

GPL

VIGOGO SAKATA LA 'BALI NINE' KUPIGWA RISASI KESHO NCHINI INDONESIA

Raia wa Australia Andrew Chan (kushoto) na Myuran Sukumaran wanaosubiria kuuawa kwa kupigwa risasi kesho asubuhi nchini Indonesia.
Dada wa Sukuraman, Brintha, akisaidiwa na watu kuelekea bandarini wakati akienda kumuaga kaka yake kwa mara ya mwisho kwenye Kisiwa cha Nusakambangan. Michael Chan (katikati mwenye tisheti ya kijani) ambaye…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani