MAJAMBAZI YAWAPIGA RISASI WACHINA NA KUWAPORA FEDHA
Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la tukio. Majambazi yamewapiga risasi raia wa China na kuwapora begi linalodaiwa kuwa na fedha hivi punde eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Bado haijafahamika ni kiasi gani cha fedha zilizoporwa na majambazi…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLINDONESIA YAWAPIGA RISASI WATUHUMIWA 8 WA DAWA ZA KULEVYA
11 years ago
Habarileo27 Apr
Majambazi wavamia Wachina wanaojenga barabara, wajeruhi
WATU wanane wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za jadi yakiwemo mapanga na marungu, wamevamia kambi ya Kampuni ya Wachina.
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Majambazi wampiga risasi mfanyabiashara nyumbani
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Majambazi yamuua Sista kwa risasi Dar
WATU watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamemuua kwa kumpiga risasi mtawa wa Kanisa Katoliki, Sista Clezensia Kapuli ambaye ni mhasibu wa Shule ya Sekondari Mwenyeheri Anuwarite, iliyopo Ubungo Makoka jijini...
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Majambazi yajeruhi polisi wawili kwa risasi
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Majambazi Moshi wamuua mshirika wao kwa risasi
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Majambazi Bunda yaua muuza vitumbua kwa risasi
Na Ahmed Makongo, Bunda
WAKAZI wa mji wa Bunda mkoani Mara hivi sasa wanaishi maisha ya hofu baada ya kundi la majambazi kuvamia na kumuua muuza vitumbua.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 1:40 usiku na kusababisha taharuki kwa wananchi ambao walilazimika kukimbia kunusuru uhai wao.
Majambazi hayo yalivamia katika eneo jirani na Benki ya NMB Tawi la Bunda na kufyatua risasi ambayo ilimuua kijana huyo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, majambazi hayo pia yalivamia katika vibanda vya...
11 years ago
CloudsFM02 Jul
MAJAMBAZI YANAYODAIWA KUMUUA SISTA KWA RISASI, UBUNGO YAKAMATWA
Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam inawashikilia watuhumiwa wawili wa ujambazi wanaohusishwa na mauaji ya mtawa wa kaniasa Katoliki Sista Clezensia Kapuli,
Zaidi ya watuhumiwa hao pia watu wengine sita wanashikiliwa wakihusishwa na matukio mbali mbali ya ujambazi nchini.
Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar esSalaam Kamishna Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari,aliwataja majambazi wanaohusishwa na mauaji ya Sista Kapuli kuwa ni Manase Ogenyeke “mjeshi” (35)...
10 years ago
VijimamboWATU WANNE WANAOSADIKIWA KUWA MAJAMBAZI WAUAWA KATIKA MAPAMBANO YA KURUSHIANA RISASI NA POLISI
Katika tukio hilo watu wanne wanaume wasiofahamika wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliuawa katika majibizano ya kurushiana risasi na Askari Polisi.
Tukio hilo limetokea Agusti 3, 2015 majira ya saa 09.00hrs eneo la Sogea, Kata na Tarafa ya Tunduma Wilaya ya Momba.
Awali watu hao walivamia dukani kwa Thadeo Sanga (50), mfanyabiashara na wakala wa kuuza/kusambaza bia za TBL ,...