Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majambazi wavamia Wachina wanaojenga barabara, wajeruhi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariWATU wanane wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za jadi yakiwemo mapanga na marungu, wamevamia kambi ya Kampuni ya Wachina.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAJAMBAZI YAWAPIGA RISASI WACHINA NA KUWAPORA FEDHA

Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la tukio. Majambazi yamewapiga risasi raia wa China na kuwapora begi linalodaiwa kuwa na fedha hivi punde eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Bado haijafahamika ni kiasi gani cha fedha zilizoporwa na majambazi…

 

11 years ago

BBCSwahili

Majambazi wavamia shule Nairobi, Kenya

Majambazi wamemuua mwanafunzi mmoja wa shule ya upili na kuwajeruhi wengine wengi katika uvamizi waliofanya dhidi ya shule Nairobi

 

10 years ago

CloudsFM

Majambazi wavamia kituo, waua polisi wawili

ASKARI wawili wa Jeshi la Polisi katika Kituo cha Ikwiriri wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameuawa baada ya kushambuliwa kwa silaha na majambazi, waliovamia kituo hicho na kuiba silaha baada ya kufanikisha mauaji.
Kutokana na tukio hilo, Jeshi la Polisi liko katika msako mkali, huku Mkuu wa jeshi hilo, IGP, Ernest Mangu akitangaza donge nono la Sh milioni 20 kwa watakaofanikisha kukamatwa kwa wahusika wa tukio hilo na silaha.

Akizungumza na waandishi wa habari kwa njia ya simu kutoka eneo la...

 

9 years ago

Habarileo

Majambazi wavamia duka la M-Pesa na kupora fedha

VIJANA wawili wakiwa na silaha wamevamia duka la M-Pesa mjini Tabora na kumteka mhudumu wa duka hilo kabla ya kumwamuru atoe fedha zote alizokuwa nazo pamoja na simu anazotumia.

 

9 years ago

Bongo5

Majambazi wavamia na kupora nyumbani kwa rapper Big Sean

big-sean

Nyumba ya rapper Big Sean wa Marekani ilivamiwa na majambazi wakati akiwa nje ya nchi.

big-sean

Kwa mujibu wa TMZ, wezi hao walivunja nyumba yake iliyopo jijini Los Angeles na kuvunja sehemu palipokuwa pamehifadhiwa vitu vya thamani. Walipora vidani vya madini vyenye thamani ya $150,000 pamoja na nyimbo ambazo bado hazijatoka.

Sean na wenzake wanaamini kuwa wizi huo umefanywa na watu wa karibu. Wezi hao walijua kuwa rapper huyo hakuwepo na walikuwa wanaijua vyema nyumba yake. Hadi sasa hakuna...

 

11 years ago

Michuzi

News Alert: Majambazi wavamia kituo cha Polisi Kimanzichana na kuua Askari

Mnamo tarehe 11/06/14 majira ya 0100hrs huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani,watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni raia wema waliingia kituo kidogo cha Polisi Kimanzi Chana huku wakikimbia wakiwa na silaha za jadi kiasi cha askari wa zamu kuamini kuwa ni watu wanaohitaji msaada. 
Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la JOSEPH NGONYANI na kuanza kumkatakata mapanga na hatimaye kupora silaha aina ya SMG ikiwa na risasi 30.
Ndipo...

 

11 years ago

Michuzi

WACHIMBAJI HARAMU WA MADINI WAVAMIA BARABARA YA MBINGA

Wananchi wa wilaya ya Mbinga wameonywa dhidi ya vitendo vya kuhujumu miundombinu ya barabara Peramiho Jct-Mbinga iliyojengwa kwa kiwango cha lami kwa kufanya shughuli ya uchimbaji madini kinyume cha sheria.  Agizo hilo amelitoa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu wakati alipofanya ziara ya ghafla katika kambi ya wachimbaji wadogo wa madini kitongoji cha Ngendambili kijiji cha Mkako wilaya ya Mbinga Katika ziara hiyo Mkuu wa Mkoa amejionea jinsi wachimbaji hao walivyoharibu eneo la...

 

11 years ago

Habarileo

Majambazi yafunga barabara, yapora

KUNDI la watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za jadi, juzi usiku walifunga barabara ya Mbeya – Njombe.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani