Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INSPECTOR HAROUN, BABY MADAHA WANASWA KONA

Stori: Issa Mnali
Katika hali ya kushangaza, mastaa wawili wa muziki, Baby Madaha na Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’ wamenaswa usiku wakila bata huku wakiwa kimahaba. Staa wa Bongo Fleva, Haroun Kahena ‘Inspector Haroun’ akigonga busu shavuni kwa Baby Madaha. Tukio hilo lilinaswa na kamera ya paparazi wetu hivi karibuni kwenye pub moja iliyopo maeneo ya Kijitonyama jijini Dar ambapo awali Inspector...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Inspector Haroun adai Bongo Flava inapoteza utambulisho wake

Msanii mkongwe, Inspector Haroun amesema muziki wa Bongo Flava unaenda ukipotea kutokana na wasanii kudokoa vionjo vya muziki wa nje. Hitmaker huyo wa Mtoto wa Geti Kali, alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio wiki iliyopita kuwa wasanii wanafanya vizuri kwa melody za kudokoa hivyo wanatakiwa kuchukua tahadhari. “Siku hizi vijana wanafanya vizuri, […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Inspector Haroun Ft Juma Nature — Mungu Ndio Anapanga

Wimbo mpya kutoka kwa Inspector Haroun amemshirikisha Juma Nature, unaitwa “Mungu Ndio Anapanga” na umetengenezwa na Poroducer Dupy Studio Uprise Music.

 

10 years ago

Bongo5

Inspector Haroun ashoot video mbili, atazituma Japan kufanyiwa ‘editing’

Msanii mkongwe nchini, Inspector Haroun amesema ile ahadi yake ya kuachia video tatu itatimia hivi karibuni baada ya kumalizia kushoot video mbili mpaka sasa ambapo amedai anatarajia kuzituma nchini Japan kwaajili ya kufanya final editing. Inspector amesema atajipanga na kuhakikisha anafanya kitu kikubwa ili kuwadhihirishia watanzania kuwa wakongwe pia nwanaweza. “Kwa sababu watu wanatuambia wakongwe […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Rich One Ft. Juma Nature & Inspector Haroun – Fulani

Wimbo mpya wa msanii Rich One unaitwa “Fulani” amewashirikisha Juma Nature na Inspector Haroun Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA

Baby Joseph Madah. Na Waandishi Wetu AMA kweli maovu yanazidi kuongezeka, shetani naye mbioni siku zote kunasa waliyo wake, kauli hizo zote ziko sambamba na staa wa sinema za Kibongo na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Baby Joseph Madaha amenaswa baada kuingia mkenge mtego wa kujiuza, Ijumaa limesheheni. Kumekuwa na skendo kuwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo hujihusisha na biashara ya kujiuza ili kujipatia kipato na kufanya...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!

Stori:   Mwandishi Wetu
Jambo limezua jambo! Ile skandali ya kunaswa baada ya kuingia mkenge kwenye mtego wa kujiuza imemtokea puani staa wa sinema na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ambaye amekiri kuumbuka.
Habari hiyo iliruka hewani kwenye gazeti dada la hili, Ijumaa wiki iliyopita toleo namba 862 la Januari 17 hadi 23 likiwa na kichwa cha habari ‘BABY MADAHA ANASA MTEGO WA KUJIUZA. SAFARINI
Ilielezwa kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AUMBUKA

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea kukomaa katika gemu kwa kuachia kazi mpya na kuandaa matamasha mbali mbali. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha akiwa kwenye pozi. Msanii huyo alitoa uamuzi huo kwa madai kuwa alichoshwa na skendo za kila kukicha ambazo...

 

9 years ago

GPL

BABY MADAHA AREJEA NA MBWEMBWE

Gladness Mallya BAADA ya kula bata kwa mwezi mmoja huko Dubai anakodaiwa kuwa pamoja na mfanyabiashara tajiri wa mafuta,msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amerejea kwa mbwembwe, akisema anajiandaa kufungua kampuni. Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha Akizungumza na gazeti hili, Baby Madaha alisema anatarajia kufanya uzinduzi wa kampuni hiyo ambayo pamoja na mambo mengine, itashughulika na filamu. “Hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani