Interpol yawasaka Wachina 30 kwa ujangili wa tembo
![](http://3.bp.blogspot.com/-LzVv4r32yl4/VB6sgbs_3_I/AAAAAAAAL14/LIiasCIwrvw/s72-c/b8.jpg)
Kamishna wa Interpol Tawi la Tanzania, Gustav Babile
Dar/Dodoma. Siku tano baada ya Serikali kukanusha vikali ripoti ya Shirika la Kimataifa la Mazingira (EIA) iliyoihusisha China na utoroshaji wa meno ya tembo nchini wakati wa ziara ya Rais wa nchi hiyo, Xi Jinping mwaka jana, Shirika la Polisi la Kimataifa (Intepol), Tawi la Tanzania limesema linawatafuta raia zaidi ya 30 wa China ambao wanatuhumiwa kusafirisha meno ya tembo na kufanya uharamia wa kimazingira katika hifadhi za Taifa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Interpol yawasaka Wachina 30
11 years ago
Habarileo12 Mar
Wachina jela miaka 5 kwa meno ya tembo
RAIA wawili wa China wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya Sh milioni moja baada ya kukutwa wakisafirisha meno ya tembo. Qui Wu (30) na Zou Zhihong (51) ambao walikutwa na meno ya tembo, zilizotengenezwa kama bangili na kinyago.
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Wachina watupwa jela miaka 20 kwa ujangili
11 years ago
Habarileo24 Dec
Zuio la dhamana kwa Wachina wa meno ya tembo latupwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali hati ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kupinga ombi la dhamana ya raia wa China wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Ujangili wapoteza asilimia 67 ya tembo kwa miaka minne
11 years ago
Habarileo06 May
Kesi ya Wachina ya meno ya tembo Mei 13
MASHAHIDI wa upande wa mashitaka katika kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4, inayowakabili raia watatu wa China, wataendelea kutoa ushahidi Mei 13 na 14 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
11 years ago
Habarileo05 Feb
Wachina wa meno ya tembo wadaiwa kutaka kuhonga
RAIA watatu wa China wanaokabiliwa na kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 5.4, wanadaiwa kujaribu kutoa rushwa ya Sh milioni 30.2 kwa askari ili wasifunguliwe mashitaka.
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Ukishangaa ya Wachina na mihadarati, utayaona ya Watanzania na ujangili!
BIASHARA ya madawa ya kulevya pamoja na ujangili ni miongoni mwa shughuli haramu Tanzania na hakika nchi rafiki na zisizo rafiki hulifahamu hilo bayana, japo wapo wazito jasiri wachache wameweka...