Introducing "MAMA" nyimbo mpya ya francia Chengula
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi07 Dec
10 years ago
Michuzi28 Aug
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F390bwm2-Uo/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/qStJSplkExo/default.jpg)
10 years ago
GPL10 Sep
FRANCIA CHENGULA AZUNGUMZIA UPIGAJI KURA KWA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI
Msanii wa muziki, Francia Chengula akiuliza swali kuhusu kwa nini Watanzania waliopo nje ya nchi hawaruhusiwi kupiga kura aidha kwa vyama au kwenye chaguzi kuu.
Francia aliuliza swali hili wakati wa Semina ya Viongozi wa mashina ya CCM ya Uingereza iliyo fanyika.
10 years ago
Michuzi15 Jan
10 years ago
Michuzi23 Sep
muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi na ujio wa filamu yake mpya "Mama Mkwe"
FILAMU mpya ya muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi iitwayo 'Mama Mkwe' inatarajiwa kuigizwa sokoni siku ya Alhamisi baada ya kukwama kuachiwa jana Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa.Aidha Muinjilisti huyo amewataka mashabiki wake wasiikose kupata darasa la kutosha.
Jennifer alisema filamu hiyo itaachiwa rasmi Septemba 25 baada ya jana kukwama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake ikiwa ni wiki kadhaa tangu kumalizika kurekodiwa kwake na kusema kwa ujumbe uliopo ndani yake, mashabiki...
9 years ago
Bongo517 Oct
Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya
Ombi la Celine Dion kuhusu kuandikiwa nyimbo kwaajili ya album yake mpya ya Kifaransa, limepokelewa kwa mafuriko ya nyimbo zilizowasilishwa. Takriban nyimbo 4,000 zilitumwa kwenye website ya Dion na kampuni inayomsimamia hadi kufikia October 5. Mume wa Dion, ambaye pia ni meneja wake, Rene Angeli na CEO wa kampuni ya Les Feeling Productions, Aldo Giampaolo […]
10 years ago
Bongo502 Jan
Akon aachia nyimbo 5 mpya kwa mpigo kutoka kwenye album mpya ‘Stadium’
Baada ya ukimya wa muda mrefu Akon ameachia nyimbo tano mpya kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa iitwayo “Stadium” ambayo itakuwa na nyimbo za genre tano tofauti. Akon ameachia nyimbo hizo kupitia website yake Akon.com Album ya “Stadium” itakuwa na album tano ndani yake na kila moja itawakilisha genre moja ambazo ni Euro, Pop, […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania