introducing "ZIGO" by Ambwene yesaya
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi11 years ago
GPLAMBWENE MWASONGWE AKIWABURUDISHA MASHABIKI TAIFA
Msanii wa nyimbo za Injili, Ambwene Mwasongwe akiimba wimbo wa Upendo ndani ya Tamasha la Matumaini 2014. Akitoa burudani kwa mashabiki  …
10 years ago
Vijimambo21 Oct
Yesaya Ambilikile YP msanii wa kundi la TKM afariki dunia
Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family,Yesaya Ambilikile ‘ Y- P’(kulia kwenye picha) amefariki dunia usiku wa jana katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kifua.
9 years ago
Mwananchi04 Oct
AMBWENE YESSAYA :Msanii anayemiliki kipindi cha Mkasi
Tasnia ya sanaa hususan muziki ni kazi kama ilivyo kwa fani nyingine na endapo walioamua kuichagua watakuwa na bidii, inaweza kuwainulia kipato na kujikuta katika maisha bora.
9 years ago
MichuziBalozi Seif Ali Iddi aifariji familia ya marehemu Koplo Yesaya Mwakambi
Jeshi la Polisi Nchini limeelezea faraja yake kutokana na mfumo wa Viongozi wa Kitaifa kuonyesha muelekeo wa kuwajali watumishi wao kutoka Taasisi tofauti za Umma na hata binafsi lakini zaidi wake watumishi wa ngazi ya chini. Afisa wa Polisi S.P Zakaria Benard alitoa faraja hizo kwa niaba ya Jeshi la Polisi wakati akitoa shukrani za Jeshi hilo mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika katika Kata ya Goba Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam kutoa mkono...
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
UKAWA wamtwisha zigo JK
SIKU mbili baada ya mazunguzo baina Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kukubaliana Bunge maalumu lisitishwe Oktoba 4 mwaka huu, Umoja wa Katiba ya Wananchi...
10 years ago
Mwananchi02 May
JK amtwisha zigo Rais mpya
Mwanza. Wafanyakazi jana walimsomea Rais Jakaya Kiwete madai 11 wanayomtaka awatimizie kabla ya kumaliza muda wake Oktoba, lakini mkuu huyo wa nchi amesema ataishia pale atakapoweza na kumuachia mrithi wake kazi ya kushughulikia mengine.
11 years ago
Mwananchi26 Jul
TCAA wamtwika zigo Mwakyembe
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe jana alijikuta akitwishwa masuala mazito kutoka kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), ambao walibainisha changamoto nyingi zinazowarudisha nyuma kutekeleza majukumu yao.
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Zigo la Z’bar ni la Magufuli au Kikwete
Wakati majadiliano ya kina yanaendelea visiwani ili kufikia mwafaka wa kuendelea na mchakato wa kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar uliofanyika Oktoba 25 au kurudiwa upya, imeelezwa kuwa suala hilo linaweza kupata ufumbuzi iwapo litashughulikiwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Jakaya Kikwete au Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli.
Kikwete ametupiwa zigo hilo kwa sababu ya wadhifa wake wa uenyekiti wa c
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania