TCAA wamtwika zigo Mwakyembe
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe jana alijikuta akitwishwa masuala mazito kutoka kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), ambao walibainisha changamoto nyingi zinazowarudisha nyuma kutekeleza majukumu yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJOIRy4*jb49RUaP0OBtwtIEfw9atEpYPCnW88Q4O3jbWGVkgZifizfosJHPb*n2zjECAZ8-omvxObjkhJNiVGxP/01.jpg?width=650)
WAZIRI WA UCHUKUZI DK.HARRISON MWAKYEMBE AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA)
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
UKAWA wamtwisha zigo JK
SIKU mbili baada ya mazunguzo baina Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kukubaliana Bunge maalumu lisitishwe Oktoba 4 mwaka huu, Umoja wa Katiba ya Wananchi...
10 years ago
Michuzi02 Feb
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
RC Sadik awatupia zigo madiwani
MKUU wa Mkoa (RC) Dar es Salaam, Said Meck Sadik, amesema suala la kuliweka jiji hilo katika hali ya usafi halina mjadala kwa sababu mpango huo umetokana na madiwani wa...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Nyambui aitupia zigo mikoa
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui amevitupia lawama vyama vya mchezo wa Riadha vya Mkoani kwa maandalizi duni ya wanariadha wao ambao wamewakilisha katika mashindano ya...
10 years ago
Mwananchi02 May
JK amtwisha zigo Rais mpya
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Zigo la Z’bar ni la Magufuli au Kikwete
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Ivo: Nilibeba ‘zigo’ la lawama
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Vigogo watwishwa zigo Z’bar
*Wamo Dk. Salmin Amour, Mwinyi, Amani Karume
*Zitto amtaka Magufuli atangaze hali ya hatari
*Jumuiya ya Madola yaingilia kati
Na Waandishi Wetu, Zanzibar/Dar
JUHUDI za kusaka suluhu kwa ajili ya kutatua mgogoro wa kisiasa wa Zanzibar zinaendelea, baada ya vigogo kadhaa wa kitaifa na kimataifa kuongezwa katika timu ya mazungumzo.
Taarifa kutoka visiwani huko zinasema, katika kufanikisha mchakato huo imeundwa kamati maalumu inayowashirikisha marais wote wastaafu wa Zanzibar kwa lengo la...