Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IPTL yaishtaki MCL, yadai Sh8.8 trilioni

>Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imeyashtaki magazeti ya Mwananchi na The Citizen kwa madai ya kuchapisha habari zilizolenga kuichafua kampuni hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya MCL na IPTL yaanza kutajwa

Kesi ya madai inayoikabili kampuni ya Mwananchi Communications Ltd iliyofunguliwa na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeanza kutajwa katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.

Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.

Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.

Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.

Waziri wa Fedha, Saada Salum...

 

9 years ago

BBCSwahili

Pembe za ndovu: TZ yaishtaki Malawi

Tanzania imekwenda mahakamani kuisimamisha Malawi isiteketeza pembe za ndovu zilizonaswa huko

 

10 years ago

BBCSwahili

India yaishtaki kampuni ya Nestle

Serikali ya India inaishtaki kampuni ya Nestle kwa malipo ya dola milioni 100 kwa mfumo wa biashara usio halali kulingana na afisa mmoja.

 

9 years ago

Bongo5

UEFA yaishtaki klabu ya Dynamo Kiev

Shirikisho la soka barani Ulaya, UEFA, limeifungulia kesi ya kinidhamu klabu ya Dynamo Kiev kutokana na vurugu zilizofanywa na mashabiki wake na mambo ya kibaguzi katika mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Chelsea. Katika taarifa yake, UEAFA imesema itaanza kusikiliza kesi hiyo Octoba 27 mwaka huu. Hiyo sio mara ya kwanza kwa mashabiki […]

 

10 years ago

Mtanzania

SAKATA LA MSUVA KUTIMKIA SAUZI ;Yanga yaishtaki Bidvest

MSUVAABDUCADO EMMANUEL, DAR NA MICHAEL MAURUS, MTWARA

SAKATA la winga wa timu ya Yanga, Simon Msuva kwenda kufanya majaribio Afrika Kusini kwenye timu ya Bidvest Wits bila ruhusa ya uongozi wake, limechukua sura mpya baada ya mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Vodacom kuishtaki timu hiyo kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).

Msuva aliyerejea nchini juzi baada ya kumaliza majaribio hayo na kudaiwa kufanya vizuri, alitorokea nchini humo Jumatatu iliyopita usiku bila kuafikiana na uongozi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mfanyabiashara aporwa Sh8 milioni

Mfanyabiashara wa duka la kubadilisha fedha mjini Tunduma, Alphonce Mwanjela (36) ameporwa Sh5.2 milioni muda mfupi baada ya kufunga duka lake na kuanza safari ya kurejea nyumbani.

 

11 years ago

Mwananchi

Cocacola yatoa Sh8.1 ml Njombe

Kampuni ya Cocacola imetoa vifaa vyenye thamani ya Sh8.1 milioni kwa watu tisa katika Mikoa ya Njombe na Ruvuma.

 

10 years ago

Vijimambo

Bei ya umeme yashuka kwa Sh8

Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu bei ya umeme. Kulia ni Kaimu Mgurugenzi- Umeme, Injinia Godfrey Chibulunje. Picha na Anthony Siame
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imeliagiza Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kupunguza bei za umeme kwa Sh8 kuanzia Machi Mosi mwaka huu.Akitoa agizo hilo jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi alisema kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani