Iran:Mwanamke anyongwa kwa mauaji
Iran imemnyonga mwanamke ambaye inadai alimuua mwanamme mmoja ambaye alijaribu kum'baka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Mwanamke wa Iran apata agizo la jaji kushiriki katika soka
Mwanamke mmoja ambaye ni nyota wa soka nchini Iran amefanikiwa kushiriki katika mchuano mmoja ughaibuni baada ya jaji kuzuia juhudi za mumewe za kumtaka kutosafiri.
11 years ago
GPL
MWANAMKE ATAJWA MAUAJI YA PROF. CHUO KIKUU
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa MAUAJI ya aliyewahi kuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Athuman Juma Livigha (63) yaliyotokea nyumbani kwake, Bunju ‘B’, Septemba 30, mwaka huu kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana yameibua mengine ambapo sasa baadhi ya ndugu wamemtaja mwanamke mmoja kuwa huenda anahusika. Profesa Athuman Juma Livigha enzi za uhai wake. Wakizungumza na Uwazi...
5 years ago
Michuzi
MSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA



11 years ago
Tanzania Daima04 May
Mtoto abakwa, anyongwa
MWANAFUNZI wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Kalangalala mjini hapa (jina limehifadhiwa), anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka nane, amebakwa na kunyongwa usiku wa kuamkia jana nyumbani kwao...
10 years ago
GPL
SIMIYU: MHAMASISHAJI CCM ANYONGWA
Na Gabriel Ng’osha
NI huzuni tupu! Aliyekuwa mhamasishaji kwa nyimbo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkazi wa Kijiji cha Nyashimo mkoani Simiyu, Bundala Mayala (72), amekutwa amekufa kwa kunyongwa nyumbani kwake. Marehemu Bundala akiwa na familia yake. Mtoto wa mdogo wa marehemu ambaye hakutaka kutaja jina lake gazetini alisema, mwili wa baba yake mkubwa uligundulika Februari 25, mwaka huu, saa nane mchana ambapo ulikutwa...
11 years ago
GPL
MKE WA MTU ABAKWA, ANYONGWA
Stori: Mayasa Mariwata na Chande Abdallah
JAMANI jamani! Dunia imefika pabaya zaidi, Mungu asaidie. Mwanamke mkazi wa Chalinze, Mkoa wa Pwani, Moshi Rashid (43) amefanyiwa unyama uliopitiliza na watu wasiojulikana baada ya kumbaka na kumnyonga, inauma sana kwa kweli! Â Mwanamke mkazi wa Chalinze, Mkoa wa Pwani, Moshi Rashid (43) amefanyiwa unyama uliopitiliza na watu wasiojulikana baada ya kumbaka na kumnyonga.
Tukio...
11 years ago
BBCSwahili13 Dec
Mjomba wa kiongozi wa Korea anyongwa
Mjomba wa kiongozi wa Korea Kaskazini amenyongwa kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka na kupinga mapinduzi
9 years ago
BBCSwahili02 Jan
Mhubiri wa Kishia anyongwa Saudi Arabia
Saudi Arabia imemuua mhubiri maarufu wa dhehebu la Kishia Sheikh Nimr al-Nimr, wizara ya masuala ya ndani imesema.
11 years ago
GPL
BIBI HARUSI ANYONGWA SIKU CHACHE KABLA YA NDOA
Stori: Deogratius Mongela na Shani Ramadhani My God! Bibi harusi mtarajiwa aliyejulikana kwa jina la Edna Sangawe (34), mkazi wa Mikocheni B jijini Dar anadaiwa kunyongwa na watu wasiojulikana na mwili wake kutelekezwa maeneo ya Changanyikeni, Makongo-Juu, Dar, Risasi Jumamosi lina kisa kizima. Marehemu Edna Sangawe (34) enzi za uhai wake. ILIVYOKUWA
Kwa mujibu wa chanzo makini, Machi 31, mwaka huu muda wa saa 2:00 usiku,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania