Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMIYU: MHAMASISHAJI CCM ANYONGWA

Na Gabriel Ng’osha
NI huzuni tupu! Aliyekuwa mhamasishaji kwa nyimbo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkazi wa Kijiji cha Nyashimo mkoani Simiyu, Bundala Mayala (72), amekutwa amekufa kwa kunyongwa nyumbani kwake. Marehemu Bundala akiwa na familia yake. Mtoto wa mdogo wa marehemu ambaye hakutaka kutaja jina lake gazetini alisema, mwili wa baba yake mkubwa uligundulika Februari 25, mwaka huu, saa nane mchana ambapo ulikutwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

Infighting weakens party, lament Simiyu CCM cadres

Members of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) in Maswa District in Simiyu Region have said that the party is likely to lose in the forthcoming local government elections because of internal divisions.

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO SIMIYU, ADHAMINIWA NA WANACHAMA WA CCM ELFU 5

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mpinduzi(CCM) na wananchi baada ya kupokea majina ya wanachama zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu leo.Wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM)wakicheza baada ya 3Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, baada ya kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu leo.

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ALIPOPITA HII LEO ITILIMA MKOANI SIMIYU KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM


Mh:Mwigulu Nchemba akichambua kuhusu swala la Uadilifu wa Viongozi na Watumishi wa serikali,Kuna watumishi wa serikali ambao hawana Vyama au sio wanaCCM lakini Wanaiba Serikalini  na dhambi hiyo inakwenda CCM.Hivyo ni muda muafaka wa Kutenganisha Wezi,mafisadi na CCM.Comrade Mwigulu Nchemba akinadi na kuwaombea kura wagombea wa ngazi zote wa CCM kata ya itilima mkoani Simiyu.Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Itilima hii leo.Mwigulu Nchemba akiwaeleza wanaitilima Mkoani...

 

9 years ago

StarTV

Mhamasishaji wa UKAWA Nyanda za juu Kusini afariki dunia

Mhamasishaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia Ukawa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Erasmo Nyindi amefariki dunia kwenye ajali katika Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma akiwa katika ziara ya kazi .

Mtendaji Mkuu wa Kampeni za Ukawa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Rajabu Kaluwa amesema ajali hiyo ilisababishwa na watu walioshika tochi nyakati za usiku wakiwa na silaha kutaka kuteka nyara msafara wa Mgombea Ubunge katika Jimbo la Nyasa Cathbet Saule almaarufu kwa jina la Ngwata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto abakwa, anyongwa

MWANAFUNZI wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Kalangalala mjini hapa (jina limehifadhiwa), anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka nane, amebakwa na kunyongwa usiku wa kuamkia jana nyumbani kwao...

 

11 years ago

GPL

MKE WA MTU ABAKWA, ANYONGWA

Stori: Mayasa Mariwata na Chande Abdallah
JAMANI jamani! Dunia imefika pabaya zaidi, Mungu asaidie. Mwanamke mkazi wa Chalinze, Mkoa wa Pwani, Moshi Rashid (43) amefanyiwa unyama uliopitiliza na watu wasiojulikana baada ya kumbaka na kumnyonga, inauma sana kwa kweli!   Mwanamke mkazi wa Chalinze, Mkoa wa Pwani, Moshi Rashid (43) amefanyiwa unyama uliopitiliza na watu wasiojulikana baada ya kumbaka na kumnyonga.
Tukio...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mjomba wa kiongozi wa Korea anyongwa

Mjomba wa kiongozi wa Korea Kaskazini amenyongwa kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka na kupinga mapinduzi

 

10 years ago

BBCSwahili

Iran:Mwanamke anyongwa kwa mauaji

Iran imemnyonga mwanamke ambaye inadai alimuua mwanamme mmoja ambaye alijaribu kum'baka.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mhubiri wa Kishia anyongwa Saudi Arabia

Saudi Arabia imemuua mhubiri maarufu wa dhehebu la Kishia Sheikh Nimr al-Nimr, wizara ya masuala ya ndani imesema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani