Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IS wafungua kambi za mafunzo Libya

Wapiganaji wa Islamic State wameanzisha kambi za mafunzo kwa wapiganaji wao mashariki mwa Libya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kambi ya mafunzo kwa Vijana yamalizika jijini Dar

Kwaya ya Gracias kutoka Korea ikitumbuiza katika kambi ya Vijana iliyomalizika jana katika viwanja vya mikutano vya Mlimani City.Kambi iyo mwaka huu imefanyika nchini ikijumuisha vijana elfu tatu duniani kote. Mkurugenzi msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo Bi. Esther Riwa akiongea na Vijana mbalimbali baada ya Kuwapa somo kuhusu kuwa na Fikra Chanya ili kujiletea maendeleo na Stadi za Maisha.Vijana hao wameweka kambi katika Viwanja vya...

 

11 years ago

BBCSwahili

SPLM/A wafungua ofisi Kampala

Mrengo wa SPLM unaounga mkono Dr Riek Machar umefungua afisi Uganda na kuunga mkono kuwepo kwa wanajeshi wa Uganda Sudan Kusini

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi Kagera wafungua mjadala wa taifa

Siku chache zilizopita wanafunzi mkoani Kagera walihoji sababu za wazawa kutelekeza mkoa wao pamoja na kusikika wakivuma mikoa mingine.

 

10 years ago

Bongo5

Jambo Squad wafungua mgahawa Arusha

Wasanii wa kundi la Jambo Squad kutoka Arusha wamethibitisha kauli ya kuwa muziki unalipa baada ya kufungua mgahawa jijini humo. Jambo Squad wamedai kuwa licha ya kuonekana wanafanya muziki wa tofauti, wameweza kupiga hatua kimaisha. “Sisi ni watoto wa uswahilini, tumelelewa uswahilini so maisha tunayajua,” waliiambia XXL ya Clouds FM. “Sisi ni watu wa biashara […]

 

11 years ago

Michuzi

Nakumatt wafungua Supermarket nyingine Arusha

Mwonekano wa Supermaket mpya ya mtandao wa maduka ya Nakumatt Holdings Ltd jijini Arusha baada ya kuzinduliwa jana kwenye eneo la TFA Arusha. Mwonekano wa Supermaket mpya ya mtandao wa maduka ya Nakumatt Holdings Ltd jijini Arusha baada ya kuzinduliwa jana kwenye eneo la TFA Arusha. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(kushoto) akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nakumatt Holdings Ltd,Atul Shah akiangalia bidhaa mbalimbali kwenye Supermarket mpya ilifunguliwa eneo la...

 

11 years ago

Michuzi

CRDB WAFUNGUA HUDUMA ZA BENKI BABATI

Na Woinde Shizza,Manyara
Wananchi wa Mkoa wa Manyara, wametakiwa kutumia fursa ya kuwepo kwa huduma ya benki ya CRDB Tawi la Babati, kwa kujiwekea akiba na kuchukua mikopo kwa lengo la kujinufaisha kiuchumi na kuongeza pato la Taifa.
Mkuu wa mkoa wa Manyara, Elaston Mbwilo aliyasema hayo wakati wa zoezi la benki ya CRDB tawi la Babati, lilipoanza kutoa huduma ya fedha kwa wateja wake na yeye kuwa mtu wa kwanza kuweka fedha kwenye tawi hilo.
Mbwilo aliwataka wananchi wa mkoa huo kufungua...

 

9 years ago

Mwananchi

MSD wafungua duka la dawa Muhimbili

Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) imetekeleza agizo la Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kwa kufungua duka la dawa za binadamu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

 

11 years ago

Mwananchi

Tigo wafungua duka huduma kwa wateja

Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo imefungua maduka 50 nchini ili kurahishisha upatikanaji huduma kwa wateja wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani