ISHU YA KUTEGEMEA MABWANA, MWAKIFWAMBA AMPONGEZA AUNT EZEKIEL
![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0Jjbl-nEgq-PHq92no2E21KKmmb9*4N4qkR5i7sxjGpwwAqpXnMN-mRM8yjhTaRsYXLS3*GeeRMv9OOgWoXnYDcDAF/aunt.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba amempongeza msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel baada ya hivi karibuni kuandikwa kwenye mitandao mbalimbali kwamba sanaa hailipi hivyo wasanii wa kike wanaishi kwa kupewa fedha na wanaume zao. Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba. Akistorisha na paparazi wetu, Mwakifwamba alisema kauli hiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N6tOykHJpwm8Eg4g55zbaUAyd6dCLAL8i8zxGhVYch8MbDYNox9sR59w-5GKtoP7u1Xg9e99aGKBZBnGdB4*fAf/aunt.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!
10 years ago
Mtanzania09 Apr
Mimba yamchosha Aunt Ezekiel
NA GEORGE KAYALA
MKALI wa filamu ya Chozi la Mwanjaa, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine.
Akizungumza na MTANZANIA jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo.
“Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp20pxF9*ej2hiejHdFwOylB457L8FJ7e4pwDjI8BMHOvKkoHWQ4485VgeIY-71XgMG2KoI*FV6rWSfea3Qh4AXEo/MAMAWEMA.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL NA UKWELI MCHUNGU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOIde3FMdLUQO*puXeAxc2ZPMYbDmqDD7KoJnVOvZ9qERTcPMrHW0DaHba*39u*Ho7Dt8RSY9ijeMxgBHVhASWpQ/AUNT.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL AZICHAPA UKUMBINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tRTgBwuFfyuAuJnc6PwuTbY7fCtyoJ2sPPJdvIouhEa9aBRQKyBs6ObNGMiA1SL9pWUQrPAKH5veLvQ40RmSUPJ/BACK.jpg)
MIMBA YAMTIBUA AUNT EZEKIEL
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/O0rRt4kCpsrxiNjsAjSTztpWzV59Da2DQj28DwR3uaukljFNbz5nEVivhh1jFKbloUUX1JhLPOibevcxBm4myg86eru4KEXW/pub.jpg?width=650)
PUB YA AUNT EZEKIEL CHALI
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko...
10 years ago
Bongo Movies14 Mar
Watu Wamvaa Aunt Ezekiel
Kutokana na uzushi ulioenea kuwa staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.
Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...
10 years ago
Bongo Movies12 Mar
Aunt Ezekiel Akanusha Taarifa za Kujifungua
Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, mwanahabari wa GPL ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za kweli.
Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video kinachomuonyesha mwigizaji huyo akiwa ammbeba mtoto mchanga.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Aunt Ezekiel jana aliweka kipande...