Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Isingekuwa sheria hii, mambo yangevurugika Bunge la Katiba

Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, ibara ya 26 kifungu kidogo cha pili kwa sasa inatajwa kuwa kikwazo kikubwa kilichowekwa kwa kundi lenye wafuasi wengi kuamua kila kitu bungeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mambo magumu Bunge la Katiba

KURA ya siri au ya wazi ambayo jana ilikuwa ipatiwe ufumbuzi na kamati ya mashauriano, imeshindikana tena kwa kile kinachoelezwa kuwa wajumbe wa kamati hiyo kushindwa kuafikiana. Eneo lingine ambalo ni moto kwa Bunge Maalumu ni juu ya utaratibu wa Bunge hilo kufanya uamuzi ambao rasimu inaelekeza kuwa ili hoja au ibara ipite ni lazima iungwe mkono na wajumbe theluthi mbili kutoka Bara na theluthi mbili kutoka Visiwani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo kumi yaliyotikisa Bunge la Katiba

Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha, ni usemi wa zamani wa wahenga wenye maana ya kila jambo lenye mwanzo, lazima litakuwa na mwisho.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo manne magumu Bunge Maalumu la Katiba

Bunge Maalumu la Katiba limebaini mambo manne magumu ambayo yameonekana kuzua mivutano isiyo na mwafaka katika vikao vya kamati zake.

 

11 years ago

Mwananchi

Katiba ije na sheria ya Bunge kuidhinisha mikataba yote

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Cecilia Paresso, ameshauri kuingizwa kifungu katika rasimu ya Katiba ambacho kitalazimisha Serikali kuifikisha bungeni mikataba yote ya kimataifa ili kuridhiwa bungeni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hii ni aibu ya Bunge la Katiba

NIMESHAWISHIKA kuandika mtazamo huu kutokana na kushindwa kuwaelewa watu wanaoitwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba. Sina shaka na Rais Jakaya Kikwete kuwateua wajumbe hao, lakini kwa matendo yao nalazimika...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Katiba,sheria na Utawala yaridhishwa na miradi ya TASAF Mbarali

 Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala wamefanya ziara katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuona utekelezaji wa shughuli za Mfuko wa Maendeleo ya jamii(TASAF) na kukutana na walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya Masikini unaotekelezwa na mfuko huo.
Wakizungumza na walengwa hao katika kijiji cha Madabaga wabunge hao wameonyesha kuridhishwa na mafanikio makubwa yaliyoanza kupatikana baada ya walengwa kupata fedha chini ya utaratibu wa uhawilishaji fedha...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba litakuja na mpya gani safari hii?

Ile safari yetu tuliyoianza ya kuandika katiba mpya Tanzania inaingia sehemu ya pili ya Bunge Maalum la katiba baada ya awamu ya mwanzo kumalizika katika hali ambayo haikutarajiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo timu ya kufuatilia posho za wajumbe wa #Bunge la #Katiba

Timu hiyo inatarajiwa kuyachunguza kwa undani mahitaji ya wajumbe wa Katiba, kisha kuisaidia serikali kutafuta jinsi ya kuongeza posho hizo.

 

11 years ago

Michuzi

Ziara ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala bora yatinga Makao makuu ya TASAF

Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala bora Mh. Abdallah Sallehe Ahmed akifuatilia kwa makini taarifa iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF BW. Ladislaus Mwamanga (hayupo pichani).
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala bora imefanya ziara ya kikazi katika Makao makuu ya TASAF jijini Dar es Salaam ili kupata taarifa za utekelezaji wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini na zilizo katika Mazingira hatarishi unaotekelezwa chini ya TASAF...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani