Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mambo kumi yaliyotikisa Bunge la Katiba

Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha, ni usemi wa zamani wa wahenga wenye maana ya kila jambo lenye mwanzo, lazima litakuwa na mwisho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mambo 4 yaliyotikisa 2013

Katika harakati za Mapinduzi ya kiuchumi nchini hayawezi kuepuka matumizi ya rasilimali watu, maliasili na rasrimali za taifa, Miundombinu endelevu, ushindani wa kibiashara, vyanzo vya ukusanyaji mapato na njia nyingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo yaliyotikisa uchumi wa Tanzania 2014

 ‘Fumbo’ pekee lililokosa majibu mpaka sasa kwa mtanzania maskini ni pale anapotazama utofauti mkubwa wa takwimu kati ya umaskini wake na ukuaji uchumi wa Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mambo yaliyotikisa anga ya siasa za Tanzania mwaka 2013

Leo tunaanza mwaka mpya, huku tukiwa na kumbukumbu ya mambo yaliyotikisa anga za siasa hapa nchini katika mwaka 2013 kama yafuatayo:

 

11 years ago

Habarileo

Mambo magumu Bunge la Katiba

KURA ya siri au ya wazi ambayo jana ilikuwa ipatiwe ufumbuzi na kamati ya mashauriano, imeshindikana tena kwa kile kinachoelezwa kuwa wajumbe wa kamati hiyo kushindwa kuafikiana. Eneo lingine ambalo ni moto kwa Bunge Maalumu ni juu ya utaratibu wa Bunge hilo kufanya uamuzi ambao rasimu inaelekeza kuwa ili hoja au ibara ipite ni lazima iungwe mkono na wajumbe theluthi mbili kutoka Bara na theluthi mbili kutoka Visiwani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo manne magumu Bunge Maalumu la Katiba

Bunge Maalumu la Katiba limebaini mambo manne magumu ambayo yameonekana kuzua mivutano isiyo na mwafaka katika vikao vya kamati zake.

 

11 years ago

Mwananchi

Isingekuwa sheria hii, mambo yangevurugika Bunge la Katiba

Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, ibara ya 26 kifungu kidogo cha pili kwa sasa inatajwa kuwa kikwazo kikubwa kilichowekwa kwa kundi lenye wafuasi wengi kuamua kila kitu bungeni.

 

11 years ago

Dewji Blog

Ratiba Bunge la Kumi, Mkutano wa Kumi na Tano

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifunga Bunge  leo twasira ya muono wa Mandhari ilivyokuwa.

Ratiba Ya Mkutano Wa 15 Wa Bunge New by moblog

 

11 years ago

Michuzi

Pinda awataka wajumbe wa bunge maalum kuepuka mivutano, wazingatie mambo muhimu kupata katiba mpya

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kuwaomba wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuepuka mivutano na badala yake wazingatie mambo muhimu yatakayosaidia Taifa na Watanzania kupata Katiba mpya .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani