Israel yajiandaa tena kwa vita Gaza
Wanajeshi wa Israel wamewaonya raia wanaoishi katika ukanda wa Gaza, kusalia majumbani mwao huku wakijiandaa kuanza tena mashambulizi dhidi ya Hamas.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Jul
Gaza:Israel na Hamas wasitisha vita
Serikali ya Israel na wapiganaji wa Hamas wamekubaliana kusitisha vita kwa masaa 12 katika eneo la Gaza .
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Israel yaanza kushambilia Gaza tena
Israel imeanza tena kushambulia Gaza baada ya Hamas kuendelea kuishambulia licha ya mkataba wa kusitisha vita kufikiwa.
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Gaza :vita kukomeshwa kwa siku 5 zijazo.
Israeli na palestina zimekubaliana kusitisha mapigano kwa siku 5 zijazo katika makubaliano mapya.
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
Israel yasitisha vita kwa saa 7
Israel imetangaza kusitisha vita kutokana na sababu za kibinadamu katika maeneo mengi ya Gaza kwa saa saba, kuanzia siku ya jumatatu.
11 years ago
BBCSwahili27 Jul
Israel kusitisha vita kwa saa 24 zaidi
Serikali ya Israel imekubali kusitisha vita katika eneo la Gaza kwa sababu za kibinaadamu kufuatia ombi la umoja wa mataifa.
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Wanajeshi wa Israel waondoka Gaza
Serikali ya Israel imetangaza kuondoa wanajeshi wake wote katika maeneo wanakotekelezea mashambulizi nje ya ukanda wa Gaza.
11 years ago
BBCSwahili03 Aug
Gaza:Mwanajeshi wa Israel aliuawa
Jeshi la Israel limesema kuwa mmoja wa wanajeshi wake ambaye aliaminika kutekwa na wapiganaji wa kipalestina ameuawa.
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Israel yaendeleza mashambulizi Gaza
Wapalestina 9 wameuawa na Israel wakitizama mchuano wa kombe la Dunia, ndani ya mgahawa mmoja katika mji wa Khan Yunis huko Gaza.
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Israel yazidi kuishambulia Gaza
Wapalestina zaidi ya 200 wauawa katika mashambulio zaidi ya Israel dhidi ya Gaza,mapendekezo ya kusitisha mapigano yakitibuka
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania