Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Isreal yapinga ripoti ya AI

Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International linasema kuwa, kuna ushahidi wa kutosha kuwa, Israeli ilitekeleza uhalifu wa kivita pale ilipojibu shambulio la kutekwa nyara kwa askari wake mmoja mwaka jana wakati wa mzozo huko Gaza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ebosse:Algeria yapinga ripoti ya mauaji

Algeria imesisiiza kwamba kifo cha mchezaji wa Cameroon Albert Ebosse kilisababishwa na mashabiki waliokuwa wakirushi vitu.

 

11 years ago

BBCSwahili

US yapinga kuachiliwa wafungwa Afghanistan

Maafisa nchini Afghanistan wamewaachiwa wafungwa 65, ambao US inasema walihusika na mauaji ya walinda amani na wanajeshi wa Afghanistan.

 

9 years ago

BBCSwahili

Misri yapinga malalamiko ya kesi

Wizara vya mashauri ya kigeni nchini Mirsi imepinga lawama za kimataifa kufuatia kuhukumiwa kwa waandishi watatu wa Al Jazeera.

 

10 years ago

BBCSwahili

Familia ya Steenkamp yapinga uamuzi

Familia ya Reeva Steenkamp ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi na Oscar Pistorius imekasirishwa na uamuzi wa jaji wa kesi hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ujerumani yapinga madai ya Netanyahu

Ujerumani imesisitiza kwamba ndiyo inayowajibika kwa mauaji ya Wayahudi wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT yapinga punguzo la mafao

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimepinga vikali punguzo la mafao ya wastaafu wanachama wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) na watumishi wanachama wa LAPF. Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Morocco yapinga adhabu za Caf

Morocco imepinga vikwazo ilivyowekewa na Caf kwa kushindwa kuandaa michuano ya Afcon ya mwaka 2015.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Marekani yapinga karantini

Wafanyakazi wengi wa afya watachunguzwa kwa siku 21 kama wana dalili za Ebola lakini hawatatakiwa kutengwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yapinga mapinduzi Madagascar

Mahakama ya kikatiba nchini Madagascar imefutilia mbali uamuzi wa bunge kumfuta kazi rais Hery Rajaonarimampianina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani