Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahakama yapinga mapinduzi Madagascar

Mahakama ya kikatiba nchini Madagascar imefutilia mbali uamuzi wa bunge kumfuta kazi rais Hery Rajaonarimampianina.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mahakama yapinga Rais Banda kufuta matokeo Malawi

Mahakama Kuu ya Malawi imepinga uamuzi wa Rais wa nchi hiyo, Joyce Banda kufuta matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Malawi (MEC) kwa madai kuwa hana mamlaka hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi: Mapinduzi Z’bar yawe mapinduzi ya fikra

Wakati Wazanzibari leo wakiadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi, wanasiasa na wasomi wametaka wananchi hao kufanya mikakati muhimu ya maendeleo na kuacha fikra mgando zinazoathiri maendeleo yao na nchi yao.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO

Na Innocent Kansha- Mahakama  Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam jana ilitoa hukumu tatu kwa  njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama “Video Conference” kwa kushirikiana na Magereza ya Keko na Segerea Jijini Dar es salaam, huku ikiahirisha mashauri mawili. Mashauri matano ya mauaji yalisikilizwa mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, Mhe. Lameck Mlacha kwa kutumika njia hiyo. Kati ya mashauri hayo matatu yalisikilizwa na kutolewa hukumu,  kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA AKIKAGUA UJENZI WA MAHAKAMA JUMUISHI

 Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru ( aliyenyoosha mkono) akikagua  leo ujenzi wa  jengo la Mahakama Jumuishi  la Utoaji Haki (IJC) lililopo eneo la Kihonda Wilaya ya Morogoro. Jengo hilo linajumuisha Mahakama Kuu,  Mahakama ya Hakimu Mkazi na Mahakama ya Wilaya zikiwemo ofisi za wadau wote wa Mahakama. Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (wa pili kulia) akizungumza leo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Loatha Sanare kuhusu ziara ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Felicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa imeamuru mfanyabiashara huyo wa Rwanda ashtakiwe katika mahakama ya UN

Mahakama nchini Ufaransa imeagiza Félicien Kabuga ambaye anatuhumiwa kuhusika na mauaji ya kimbari ya Rwanda kufikishwa mbele ya mahakama maalum ya Umoja wa mataifa iliopo Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

JK aapisha jaji mmoja wa mahakama ya rufani na 13 wa mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ally Lilla na Katibu Mkuu kiongozi katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu 13 na Jaji wa Mahakama ya Rufaa mmoja aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 5, 2015.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

BBCSwahili

Isreal yapinga ripoti ya AI

Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International linasema kuwa, kuna ushahidi wa kutosha kuwa, Israeli ilitekeleza uhalifu wa kivita pale ilipojibu shambulio la kutekwa nyara kwa askari wake mmoja mwaka jana wakati wa mzozo huko Gaza.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ateua wasajili wapya Bi. Katarina Revocati Mahakama ya Rufani na Rugalema Kahyoza Mahakama kuu

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Katarina Tengia Revocati kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kuanzia tarehe 5 Desemba, 2014.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue, imesema kabla ya uteuzi huo, Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Biashara.

Vilevile katika Taarifa hiyo, Rais Kikwete pia amemteua Bwana Rugalema J. Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Marekani yapinga karantini

Wafanyakazi wengi wa afya watachunguzwa kwa siku 21 kama wana dalili za Ebola lakini hawatatakiwa kutengwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani