Ivory Coast yapiga marufuku Mikorogo
Ivory Coast imepiga marufuku uigizwaji uuzaji na usambazaji wa bidhaa zozote zenye uwezo wa kuchubua rangi ya ngozi ya binadamu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Maji ya viroba marufuku Ivory Coast
11 years ago
BBCSwahili04 Aug
S.Leone yapiga marufuku Kandanda
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Somalia yapiga marufuku Krismasi
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Polisi yapiga marufuku ‘vigodoro’
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku kumbi zote za starehe kupiga disko toto pamoja na disko vumbi maarufu kama ‘vigodoro’ ili kuepusha fujo katika kusherehekea...
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Chad yapiga marufuku vazi la Burqa
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Gambia yapiga marufuku tohara ya wanawake
9 years ago
Mwananchi28 Dec
KKKT Karanga yapiga marufuku vimini
10 years ago
Mtanzania04 Mar
China yapiga marufuku pembe za ndovu
Grace Shitundu na Hadia Khamis, Dar es Salaam
SERIKALI ya China imetangaza kuzuia uingizwaji wa pembe za ndovu nchini humo kwa mwaka mmoja ili kudhibiti kushamiri kwa biashara hiyo.
Hatua hiyo imechukuliwa na China wakati taifa hilo na nchi nyingine za Bara la Asia zikilalamikiwa na dunia kwa kuwa na soko kubwa la meno ya tembo hivyo kuchochea ujangili duniani.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanyamapori duniani, Waziri wa...
9 years ago
Habarileo04 Jan
Wizara yapiga marufuku uchimbaji mchanga
SERIKALI imefuta vibali vyote vya uchimbaji mchanga katika wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma ili kunusuru vyanzo vya maji na mazingira.