Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Iwezekane kunyonyesha na kufanya kazi

MAADHIMISHO ya Wiki ya Unyonyeshaji yanaanza kesho yakiwa na kaulimbiu ‘unyonyeshaji na kazi, hakikisha inawezekana.’

Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, maadhimisho haya yanafanyika kitaifa mkoani Dodoma, yakilenga kuhakikisha afya ya mtoto inaboreshwa.

Kimsingi ni jukumu la mama kuhakikisha ustawi wa mtoto kwa kumpa haki yake ya kunyonya maziwa yake, tena kikamilifu.

Hili linatokana na ukweli kuwa, maziwa ya mama yana vitamini na virutubisho muhimu...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Washauriwa kutoacha kunyonyesha sababu ya kazi

WANAWAKE waajiriwa wanaonyonyesha wameshauriwa kukamua maziwa na kuyahifadhi kwa ajili ya watoto wao, wanyweshwe wakati wakiwa kazini.

 

10 years ago

Bongo Movies

KAZI MPYA:Wema Atua Nchini Ghana Kufanya Kazi na Van Vicker

Aliekuwa Miss Tanzania (2006), Mwigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya  Endless Fame, inayojishughurisha na mambo ya filamu hapa nchini, Wema Sepetu aka Madame hivi sasa yupo nchini Ghana kwaajili ya kufanya kazi na msanii maarufu nchini humo na Afrika kwa ujumla aitwaye van vicker.

Leo hii kwenye mtandao wa kijamii Wema aliweka picha hiyo akiwa na msanii huyo na kuandika “In the Making” na kumtag Van.

Jina la project (MOVIE) hiyo mpya hadi sasa bado halijajulikana. Endelea kutufuatilia hapa...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB:Baada kufanya kazi na Thea, Wastara na Wellu, pendekeza nani tufanyenae kazi tena?..soma vigezo

Muigizaji na muongozaji wa filamu, Jacob Stephen  “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni, tumeona sio mbaya kulukuletea hapa na wewe uchangie. Nakuu;

“Wakati naanda mzee wa swaga niliomba mapendekezo mkachagua wengi hatimaye tukawapata Thea,Wastara na Wellu nakubali mapendekezo yenu sana.

Lakini sera ya kampuni ni kujaribu kuwapa nafasi wasanii ambao wana majina lakini sio makubwa ila wana vipaji ili tutengeneze mastaa wengi.

Swali safari hii tumpe nani nafasi ambae unaona anakipaji lakini...

 

10 years ago

Mwananchi

Haki ya mtoto kufanya kazi

Leo tumeona tuzungumzie suala la kazi kwa watoto kama lilivyoanishwa na Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009. Kwanza kabisa Sheria hii inatambua umuhimu wa mtoto kufanya kazi pale inapotamka, ‘Mtoto atakuwa na haki ya kufanya kazi nyepesi na kuwa mtoto ana haki ya kulipwa ujira kulingana na thamani ya kazi aliyofanya’.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana tujitume kufanya kazi

KATIKA jamii ya Kitanzania kijana ana nafasi kubwa ya kukuza uchumi wa taifa. Kijana ni nguvu kazi kubwa inayotegemewa katika taifa hili, hivyo wanapaswa wajitambue. Kila siku tukisema tusubiri miujiza...

 

11 years ago

GPL

Pluijm kufanya kazi na Maximo

Hans Van der Pluijm.
Na Wilbert Molandi
UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umesema kuwa usajili wa Kocha Mbrazili, Marcio Maximo lazima ufanywe kwa kutumia ripoti ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mholanzi, Hans van Der Pluijm.
Mbrazili huyo anatarajiwa kutua siku yoyote kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho kinachotarajiwa kushiriki Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MNEC awataka vijana kufanya kazi

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Tanga (MNEC), Kasimu Kisauji, amewataka walezi na wazazi wilayani humo kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa bidii na kuacha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani