Jafo ahimiza ushirikiano ujenzi nyumba ya mwalimu
MBUNGE wa Kisarawe Mkoa wa Pwani, Selemani Jafo amewataka wananchi kushiriki katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao ili ikamilike kwa wakati badala ya kuiachia serikali pekee. Akizungumza na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Jafo ahimiza ujenzi wa viwanda vidogo
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OmQRHPouHls/XoRryV_uQgI/AAAAAAALlwg/s72v30_8TogQ0Dcpjd4RFoT0hOlw91vDgCLcBGAsYHQ/s72-c/6cf3bcb9-0aeb-425d-8d11-242191b4a7ea.jpg)
JAFO AKERWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA NYUMBA YA DC DODOMA
Charles James, Globu ya Jamii
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo ameelezwa kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi na kuagiza kuongezwa kwa nguvu kazi.
Jafo ametoa kauli hiyo leo alipofanya ziara ya ukaguzi wa nyumba hiyo ambayo inajengwa na Suma JKT na kuwaagiza kuongeza nguvu ili Mkuu huyo wa wilaya aweze kuhamia katika muda uliopangwa.
" Nikiangalia idadi ya mafundi hapa na tarehe ambayo mmesema ujenzi utakamilika Mei 7...
10 years ago
Habarileo16 Nov
Ghasia ahimiza ujenzi nyumba za watumishi
SERIKALI imetoa agizo kwa wakuu wote wa mikoa nchini, kuhakikisha kuwa kila halmashauri nchini inatenga eneo mahususi kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi, kwa kuwa nyumba ni mahitaji muhimu kwa kila mtumishi nchini.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-M_2jzKnNuTw/XswXSvaFX1I/AAAAAAALrfo/ISC2MiIJRbYgKc-9y4wqWK5t3Y0DQ6mqACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200525-WA0105.jpg)
SHILATU AKAGUA UJENZI NYUMBA YA MWALIMU,WANANCHI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amekagua ujenzi nyumba ya Mwalimu huku Wakazi wa Kijiji cha Mpunda kilichopo kata ya Michenjele wakimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwajengea nyumba ya kuishi Mwalimu katika shule ya msingi Mpunda.
"Tunamshuru Rais Magufuli kutuletea fedha za kujenga nyumba hii ya Mwalimu. Haijawahi kutokea tangu tupate Uhuru maendeleo haya ya kasi tunayoyaona. Pia tunamshukuru Afisa Tarafa Mihambwe kututembelea mara kwa...
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Jafo ahimiza uchangiaji miradi ya maji
MBUNGE wa Kisarawe, Seleman Jafo, amewasihi wakazi wa jimbo hilo kuzingatia uchangiaji wa mfuko wa maji ili kuwezesha miradi inayotekelezwa kuwa endelevu na kuondokana na kero ambayo imekuwa ikiwakabili kipindi...
11 years ago
Mwananchi29 Jan
RC Singida ahimiza ushirikiano
10 years ago
Habarileo20 May
Kikwete ahimiza ushirikiano na Msumbiji
RAIS Jakaya Kikwete amesema ushirikiano wa Tanzania na Msumbiji ni wa kudumu na umekuwa na manufaa makubwa ya kuimarisha mshikamano na umoja baina ya nchi mbili.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6EKlHiKIYXk/XqE3ZLXUgII/AAAAAAALn7Q/kchuecdXj_Ibg1SEHB72R9ztTXCZJA0dgCLcBGAsYHQ/s72-c/8f936b79-af4d-4b39-912e-c23b0556e57e.jpg)
JAFO AKOSHWA NA SPIDI YA UJENZI WA HOSPITALI YA UHURU
Charles James, Michuzi TV
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa kujitahidi kuendesha kwa spidi ujenzi wa Hospitali mbili za Uhuru na Mlolo.
Jafo amesema kukamilika kwa haraka kwa ujenzi wa Hospitali hizo kutatoa fursa nzuri kwa wananchi wa Chamwino kupata huduma bora za kiafya.
Akizungumza katika ziara yake ya kukagua hospitali hizo, Jafo amesema ujenzi wa hospitali hizo umeenda kwa spidi inayotakiwa hivyo kuwa na imani zitaanza...
10 years ago
Habarileo21 Sep
Dk Shein ahimiza ushirikiano wa elimu na Comoro
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema historia ya kuanzishwa vyuo vikuu Zanzibar na Muungano wa Comoro inafanana.