Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAFO AKOSHWA NA SPIDI YA UJENZI WA HOSPITALI YA UHURU


Charles James, Michuzi TV

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino kwa kujitahidi kuendesha kwa spidi ujenzi wa Hospitali mbili za Uhuru na Mlolo.

Jafo amesema kukamilika kwa haraka kwa ujenzi wa Hospitali hizo kutatoa fursa nzuri kwa wananchi wa Chamwino kupata huduma bora za kiafya.

Akizungumza katika ziara yake ya kukagua hospitali hizo, Jafo amesema ujenzi wa hospitali hizo umeenda kwa spidi inayotakiwa hivyo kuwa na imani zitaanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JAFO AKAGUA UJENZI HOSPITALI YA UHURU, AAGIZA KUONGEZWA KWA NGUVU KAZI

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Selemani Jafo akitoa maelekezo baada ya kufika kujionea maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Uhuru inayojengwa kwa maelekezo ya Rais Dk Magufuli wilayani Chamwino, Dodoma. Mafundi wakiendelea na ujenzi wa Hospitali ya Uhuru inayojengwa wilayani Chamwino mkoani Dodoma.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo akiwa kwenye ukaguzi wa ujenzi wa Hospitali ya Uhuru wilayani Chamwino, Dodoma.
Charles James, Globu ya JamiiWAZIRI  wa Nchi Ofisi ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO ARIDHISHWA NA KASI UJENZI WA HOSPITALI YA UHURU, ATOA MAAGIZO KWA TBA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa Wakala wa Majengo Nchini (TBA) alipofika kutembelea ujenzi wa Hospitali ya Uhuru inayojengwa wilayani Chamwino, Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo (kulia) akikagua ujenzi wa Hospitali ya Uhuru inayojengwa wilayani Chamwino, Dodoma. Ziara hiyo ameifanya leo ambapo aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Binilith Mahenge (katikati).Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akipokea...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AWATAKA UONGOZI MPYA WA SHIRIKA LA ELIMU KUFANYA KAZI KWA SPIDI


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo (kushoto) akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa Shirika la Elimu Kibaha, Prof Rafael Chibunda (kulia) leo jijini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Robert Shillingi. Waziri wa Nchi Ofis ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara yake, pamoja na Viongozi wapya wa Shirika la Elimu Kibaha baada ya leo kuwakabidhi vitendea kazi. Mwenyekiti wa Shirika la Elimu Kibaha Mkoani Pwani,...

 

5 years ago

Michuzi

Mweli akoshwa na matumizi ya tofali za mfungamano katika ujenzi wa madarasa



Naibu Katibu Mkuu (Elimu), toka OR-TAMISEMI Gerald Mweli (kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Robert Gabriel wakati wa ziara yake ya kikazimkoani humo.Naibu Katibu Mkuu (Elimu), toka OR-TAMISEMI (kwanza kulia) akimskiliza Mkuuwa Mkoa wa Geita Mhe. Robert Gabriel (katikati) akielezea ujenzi wa madarasakwa kutumia tofali mfungamano wakati wa ziara yake mkoani humo, kushoto niKatibu Tawala Mkoa wa Geita Denis Bandisa.Muoenekano wa darasa lililojengwa kwa kutumia...

 

9 years ago

Mwananchi

Jafo ahimiza ujenzi wa viwanda vidogo

Tanzania haiwezi kubadilika ikiwa mawazo ya watu hayatabadilika kuhusu ujenzi wa viwanda vidogo nchini na kuondoa dhana ya kujenga viwanda vikubwa vinavyohitaji mtaji mkubwa wakati ajira zake ni chache.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AKERWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA NYUMBA YA DC DODOMA


Charles James, Globu ya Jamii

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo ameelezwa kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi na kuagiza kuongezwa kwa nguvu kazi.

Jafo ametoa kauli hiyo leo alipofanya ziara ya ukaguzi wa nyumba hiyo ambayo inajengwa na Suma JKT na kuwaagiza kuongeza nguvu ili Mkuu huyo wa wilaya aweze kuhamia katika muda uliopangwa.

" Nikiangalia idadi ya mafundi hapa na tarehe ambayo mmesema ujenzi utakamilika Mei 7...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jafo ahimiza ushirikiano ujenzi nyumba ya mwalimu

MBUNGE wa Kisarawe Mkoa wa Pwani, Selemani Jafo amewataka wananchi kushiriki katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao ili ikamilike kwa wakati badala ya kuiachia serikali pekee. Akizungumza na...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO -HAJARIDHISHWA NA KASI YA TBA KUENDELEA na UJENZI WA HALMASHAURI YA CHALINZE

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI

WAZIRI wa TAMISEMI ,alhaj Selemani Jafo ,hajaridhishwa na ujenzi wa halmashauri ya Chalinze ambao unasuasua tangu mwaka 2018 na kuagiza mkandarasi ambae ni Wakala wa majengo Tanzania (TBA) kuondolewa baada ya mei 31 mwaka huu.

Amemuelekeza mkurugenzi wa halmashauri hiyo na timu yake wahakikishe awamu ya kwanza ya ujenzi inapokwisha mwezi huu watafute mjenzi mwingine wa majengo hayo .

Jafo alitoa kauli hiyo ,wakati alipokwenda kukagua na kujionea kasi ya ujenzi wa majengo...

 

10 years ago

GPL

UJENZI WAENDELEA BARABARA YA UHURU

Fundi ujenzi akiweka tofali kwenye barabara hiyo, eneo la Kariakoo. Shughuli za ujenzi katika Barabara ya Uhuru inayotokea Buguruni hadi Mnazi mmoja umeonekana kuendelea kwa kasi baada ya kamera ya GPL kunasa mafundi wakiendelea na kazi hiyo eneo la Shule ya Uhuru Mchanganyiko na Kariakoo  jijini Dar. (HABARI/PICHA: DENIS…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani