Jaguar awakasirisha mashabiki Marekani
Charles Njagua kanyi anayejulikana kama 'Jaguar' alitarajiwa kuwatumbuiza raia wa Atlanta nchini Marekani siku ya ijumaa lakini hakuonekana hadi asubuhi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Mashabiki wa Marekani wachumbiana
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Sauti Sol washangazwa na mashabiki Marekani
NEW YORK, MAREKANI
KUNDI la Sauti Sol kutoka nchini Kenya, juzi lilijikuta likishangazwa na idadi kubwa ya watu katika jiji la New York nchini Marekani, kabla ya onyesho lao katika ukumbi wa Central Park nchini humo.
Sauti Sol wako nchini Marekani kwa ajili ya tamasha la kimataifa la Global Citizen linalowakutanisha wasanii mbalimbali ambapo watu zaidi ya 60,000 wanakadiriwa walihudhuria tamasha hilo.
Tamasha hilo limeandaliwa kwa ajili ya kukuza elimu, kutetea haki za wakimbizi na kujadili...
11 years ago
Bongo530 Jul
Lady Jaydee awashukuru mashabiki baada ya kushinda tuzo ya AFRIMMA, Marekani
9 years ago
Bongo510 Sep
Video: Rapper mkongwe wa Marekani, LL Cool J awashukuru mashabiki wa Afrika Mashariki kwa Kiswahili
11 years ago
Bongo523 Jul
New Music: Jaguar — One Centimeter
9 years ago
Bongo522 Nov
Video: Zikki Ft Jaguar – Take it Slow
![Jaguar-and-zikki](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Jaguar-and-zikki-300x194.jpg)
Msanii kutoka Kenya anaitwa Zikki ameachia video mpya wimbo unaitwa “Take it Slow”, Amemshirikisha Jaguar. Video imeongozwa na Enos Olik.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo525 Aug
New Music Video: Jaguar — One Centimeter
10 years ago
GPL26 Aug