Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji atumia tochi ya simu kurekodi kumbukumbu

wakiliNA JANETH MUSHI, ARUSHA

JAJI Gadi Mjemas wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, amelazimika kutumia tochi ya simu kuandika taarifa za kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Wakili Median Mwale na wenzake watatu baada ya umeme kukatika mara mbili wakati kesi hiyo ikiendelea.

Hali hiyo ilitokea juzi wakati mawakili wa pande mbili wakibishana kisheria ambapo ghafla umeme ulikatika na kulazimu kutumia tochi za simu zao huku askari polisi akitumia simu yake kummulikia Jaji Mjemas aweze...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam leo. Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akitoa hutuba...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atumia Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,Jaji Lewis Makame



Marehemu Jaji Mstaafu,Lewis Makame enzi za uhai wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za  Rambirambi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, National Electoral Commission (NEC) kufuatia taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame kilichotokea katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Agosti, 2014. 
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za...

 

9 years ago

GPL

TIGO YAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU, KUZUIA WIZI WA SIMU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Binilith Mahenge (katikati) akizungumza jambo.  Kushoto kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi) na Mkurugenzi Mkuu wa Huduma ya Simu Tigo, Diego Gutierrez. Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo na DTBi wazindua huduma ya kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi simu za mkononi

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam jana.

Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia),...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watumia tochi kuzalisha wajawazito

WAUGUZI wa Zahanati ya Kivukoni, Kata ya Minepa, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, wanalazimika kutumia tochi kushona majeraha na kuzalisha wajawazito wanaofika kupata huduma usiku. Afisa afya zahanati hiyo, Costansia...

 

9 years ago

Vijimambo

NITATUMIA TOCHI KUFICHUA MAFISADI - CHUMI

mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Mufindi Bw Tovick Kahemele akimuombea kura mgombea udiwani kata ya Bomani Bw John Chota kulia Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Iringa Rose Tweve akimwaga sera Mgombea ubunge jimbo la Mafinga Bw Cosato Chumi kulia akisalimiana na mmoja kati ya wapiga kura wakeMgombea ubunge jimbo la Mufindi Kaskazin Bw Mahamudu Mgimwa akiwahutubia wananchi wakati wa mkutano wa Chumi Mjumbe wa NEC Mufindi Marcelina Mkini akiomba kura za CCM Mjumbe wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU. Jamaa ana kumbukumbu sana.

Kati ya mambo ninayomkubali zaidi Dr Slaa ni KUMBUKUMBU.Jamaa ana kumbukumbu sana.Na nahisi hapo anamuangalia Lowassa na kukumbuka yote aliyowahi kusema juu yake.Kisha.......
Afikirie "uchafu" wote waliosema Lowassa anao, bado aonekane "msafi kuwakilisha chama kuliko yeye"Ni hapo unapotamani uwe na SELECTIVE AMNESIASijui kuna sauti ngapi kichwani mwake sasa?Na sijui kama kuna inayomuasa kufanya "maamuzi magumu"?:
SOURCE.:.MUBELWA BANDIO

 

9 years ago

Mwananchi

TOCHI YA MOROGORO : Vifo vya wakulima, wafugaji Moro vitakomeshwa lini?

Septemba 15 mwaka huu katika Kijiji cha Tindiga, Tarafa ya Masanze Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro, mkulima mmoja aliyeuawa kwa kushambuliwa na watu wawili wanaosadikiwa kuwai wafugaji wa jamii Kimasai baada ya kulisha ng’ombe zao kwenye shamba lake.

 

9 years ago

Mwananchi

TOCHI YA MOROGORO : Pongezi TFDA kufunga machinjio Morogoro

Panapotokea mtu akafanya kazi nzuri au jambo jema ni vyema akapongezwa kwa hilo, ikiwa kwa kupewa zawadi au kusifiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani