Jaji Liundi, Hashim Saggaf wafariki dunia
 Taifa limepoteza watu wawili mashuhuri. Hao ni Msajili wa Kwanza wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji George Liundi (78) na Mbunge wa zamani wa Dodoma Mjini, Hashim Saggaf.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Jaji Liundi afariki dunia
ALIYEKUWA Msajili wa kwanza wa vyama vya siasa, Jaji George Liundi, amefariki dunia juzi mchana nyumbani kwake Keko Juu jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Tanzania Daima, mtoto wa marehemu,...
11 years ago
Mwananchi17 Jan
JK, mamia wamuaga Jaji Liundi
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Mgombea CCM, mpigakura wafariki dunia dunia ghafla
10 years ago
Habarileo27 Apr
Hashim Mbita afariki dunia
MTUMISHI wa miaka mingi na mwanasiasa mkongwe, Brigedia Hashim Mbita amefariki dunia.
5 years ago
MichuziHashim Salum Hashim awa Kada wa 24 kuwania kiti cha Rais wa Zanzibar.
NA ANDREW CHALE, ZANZIBAR.MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Hashim Salum Hashim (pichani) amekuwa Kada wa 24 kuchukua fomu ya kupata ridhaa ya chama chake ya kuwa Rais wa Zanzibar.
Hashim Salum Hashim aliwasili majira ya saa Sita mchana na kisha kuchukua fomu hiyo na baadae alioata kuongea na waandishi wa Habari.
Akizungumza alisema:
"Nimekuwa Mwana CCM kwa muda mrefu na kwa miaka 15 nimeweza kuwa katika nyadhifa za kichama hadi sasa ikiwemo Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM...
10 years ago
Dewji Blog26 Apr
Tanzania yampoteza mtu muhimu, ni Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyefariki dunia mapema leo
Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita
Taifa likiwa katika maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanzania Bar na Zanzibar, mapema leo limepata pigo baada ya kuondokewa na mtu muhimu na aliyewahi kuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyefariki katika dunia majira ya asubuhi katika hospitali kuu ya Jeshi, Lugalo, jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa duru za habari kutoka familia ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WHzRVzpI8pk/VTyW2ArZOWI/AAAAAAAHTWQ/RZPryQB9J0E/s72-c/I0000mvLrZtLR6TE.jpg)
JUST IN: gwiji la ukombozi wa afrika kusini brigedia jenerali hashim mbita afariki dunia leo dar es salam
![](http://2.bp.blogspot.com/-WHzRVzpI8pk/VTyW2ArZOWI/AAAAAAAHTWQ/RZPryQB9J0E/s1600/I0000mvLrZtLR6TE.jpg)
Habari zilizotujia hivi punde zinasema Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali kuu ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam.
Mzee Mbita atakumbukwa Tanzania, bara zima la Afrika na dunia kwa jumla kama kamanda mahiri aliyeshiriki kikamilifu katika uondoshaji wa utawala wa ukoloni barani Afrika, hususan utawala kidhalimu wa makaburu Zimbabwe na Afrika...
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Wanahabari wawili wafariki dunia
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Watatu wafariki dunia Pwani
MKAZI wa Kijiji cha Msolwa, wilayani Bagamoyo, Doto Paul (30), amekufa kwa kuteketea kwa moto uliotokana na radi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei, alisema jana kuwa tukio...