Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Mkuu ziarani nchini Ghana

Mhe. Mohamed C. Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akiwa na mwenyeji wake Mhe. Georgina T. Wood, Jaji Mkuu wa Ghana ofini kwake. Mhe. Jaji Mkuu wa Tanzania yuko nhcini Ghana kwa ziara maalum ya kubadilishana ujuzi na Majaji wa Supreme Court ya Ghana.

Mhe. Jaji Mkuu wa Tanzania akiwa kwenye ziara ya kubadilishana ujuzi wa utekelezaji wa shughuli za kisheria na Utawala baina ya Mahakama ya Tanzania na Mahakama ya Ghana akiongozana na Mhe. Jaji Kiongozi na Makamishna wa Tume ya Mahakama ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Othman ziarani mkoa wa morogoro

 Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Othman akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Joel Bendera alipofika ofisini kwake yeye pamoja na msafara ulioambatana nae katika ziara ya kutembelea baadhi ya Mahakama zilizopo katika Mkoa huo.


 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akisalimiana na Watumishi na pamoja na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Magole Wilaya ya Kilosa alipofika kutembelea katika Mahakama ya Mwanzo Magole iliyokumbwa na mafuriko hivi karibuni, aliye...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU DK. WILLIBROD SLAA ZIARANI NCHINI MAREKANI

Dr. Slaa akiwa na Gavana wa Alabama 2013Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa ameondoka nchini siku ya (Jumamosi Aprili 11, 2015) kuelekea nchini Marekani ambako atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tisa. Dk. Slaa katika safari hiyo ameambatana na mkewe Josephine Mushumbusi.
Ziara hii ya siku tisa ni mwaliko wa Gavana wa Jimbo la Indiana Mike Pence pamoja na taasisi mbalimbali za nchini humo ikiwemo vyuo vikuu kutokana na kutambua mchango wa kisiasa na...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA AMUAPISHA MHE. VINCENT LYIMO KUWA MSULUHISHI MKUU WA MIGOGORO YA BIMA NCHINI

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, akimwapisha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mh. Vincent Lyimo kuwa Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima nchini, wakati wa hafla fupi iliyofanyika mapema leo ofisini kwa Mhe. Jaji Mkuu. kulia ni Msajili Mwandamizi wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Mhe. Jaji Vincent Lyimo, Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima akisaini hati ya uteuzi mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Chande Othman (hayupo pichani) Jaji Mkuu wa Tanzania Mh....

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DUNIANI ZIARANI NCHINI TANZANIA

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani Prof. Kwaku Aning (mwenye tai ya bluu) akiwa ofisini kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Patrick Makungu (wa kwanza kushoto) wakijadiliana kuhusu kuendeleza ushirikiano baina ya Tanzania na Shirika hilo kwa ajili ya matumizi salama ya mionzi na ujenzi wa Kituo Mahiri cha Tiba ya Ugonjwa wa Saratani nchini. Prof. Kwaku Aning, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani...

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu: Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema baadhi ya Mahakama nchini bado zinakabiliwa na tatizo la rushwa kutokana na watendaji wake kuendekeza vitendo hivyo na kuwakosesha haki wananchi.

 

5 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA ETHIOPIA AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA SIKU TATU




Jaji Mkuu wa Ethiopia, Mhe. Meaza Mengistu  (kulia) akisalimiana leo na  Balozi wa Ethiopia nchini Tanzania,  Mhe. Yonas Sanbe  mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ndege vya  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Jaji Ethiopia, Mhe.  Meaza Mengistu  (kulia) akipokelewa  leo na Jaji wa Mahakama Kuu Divisheni  ya Biashara ,  Mhe....

 

11 years ago

Michuzi

MHE. JAJI KIONGOZI ZIARANI MKOANI GEITA

 Mhe. Fakih Jundu, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (kushoto) Akitia sahihi katika kitabu cha wageni alipotembelea Mahakama ya Wilaya GEITA mapema Leo, kulia Mhe. Jaji Mwangesi, Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza.  Baadhi ya Watumishi wakimsikiliza Mhe. Jaji Kiongozi mapema Leo Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Wilaya GEITA, Mhe. Kamugisha akisoma risala katika Mkutano wa Mhe. Jaji Kiongozi na Watumishi mapema Leo. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya...

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHMAN AMJULIA HALI RAIS JAKAYA KIKWETE NCHINI MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Wakati alipotembelewa na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman  na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland.  Jaji Mkuu yuko  Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa kimataifa wa Mabadiliko ya Sheria ya Ushahidi na pia kukutana na taasisi mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika ili  kupata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani