Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji:Udukuzi unakiuka katiba Marekani

Jaji mmoja nchini Marekani amesema kuwa udukuzi wa simu za watu unaofanywa na shirika la ujasusi la Marekani kutafuta taarifa za kijasusi ni kinyume na katiba ya nchi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Udukuzi wa Marekani dhidi ya Ujerumani

Ujerumani imeashiria kuwa Marekani imewafanyia udukuzi viongozi wake zaidi ya ilivyodhaniwa hapo awali

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama:Marekani kupunguza udukuzi

Rais Barack Obama ameagiza kitengo cha ujasusi nchini humo kupunguza ukusanyaji wa habari kutoka simu za raia wa nchi hiyo na wa kigeni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchina yakana udukuzi nchini Marekani

Uchina imetaja kama kukosa kuwajibika kwa Marekani kudai kuwa wadukuzi wa Uchina ndio waliosababisha udukuzi wa taarifa za ofisi za serikali ya Marekani.

 

10 years ago

Dewji Blog

Jaji Mkuu amjulia hali Rais Kikwete Marekani

0L7C0451

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Jaji Mkuu yuko Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jaji Warioba: Siioni Katiba Mpya

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema hali ya mambo yanayoendelea bungeni mjini Dodoma, haoni matumaini ya kupatikana Katiba mpya na hali hiyo imemkatisha tamaa. Wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

Majibu ya Jaji Warioba Katiba Mpya


  Imezingatia asilimia 20 tu ya maudhui ya Tume  Masharti ya mgombea binafsi hayatekelezeki  Kura ya maoni kabla ya uchaguzi mkuu haiwezekani  Muundo wa Muungano umeiweka Zanzibar pabaya zaidi  Ni vigumu Rais wa Muungano kutoka Zanzibar  Madaraka ya Bunge kuisimamia Serikali yamemomonyolewa  Hakuna anakoenziwa Nyerere, maadili yametupwa
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema muundo wa Muungano uliopendekezwa kwenye Katiba pendekezwa ‘una utata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani