Jamie Vardy afikia rekodi ya Ruud Van Nistelrooy lakini kamzidi hapa!
Jamie Vardy
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mshambuliaji wa klabu ya Leicester City, Jamie Vardy (pichani) amefanikiwa kufikia rekodi ya staa wa zamani wa Manchester United, Ruud Van Nistelrooy kwa kufunga goli 10 kwa michezo 10 mfululizo.
Vardy amefikia rekodi hiyo aliyoiweka Van Nistelrooy aliyoiweka mwaka 2003 kwa kufunga michezo 10 mfululizo rekodi ambayo Vardy ameifikia wakati timu yake ya Leicester City ilipokuwa ikipambana na Newcastle United na kuibuka na ushindi wa goli 3 kwa bila.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog29 Nov
Vardy ampita Van Nistelrooy, kabakiza mmoja kuwa mfungaji wa muda wote mfululizo
Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
” It’s Unbelievable” ndiyo kauli aliyoitoa mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Leicester City na Manchester United katika uwanja wa nyumbani wa Leicester, King Power
Katika mchezo huo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1 kwa 1, Vardy aliifungia timu yake goli 1 na yeye kujiandikia rekodi yake mpya ya kufunga goli 11 katika michezo 11 mfulizo akimpita gwiji wa zamani wa...
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal ….
Kila mpenda soka anasubiria kuona mwaka 2015 utamalizikaje kwa kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal kuendelea kuwa Man United, Kwani Van Gaal kwa sasa anahusishwa kufukuzwa kazi wakati wowote. Mengi yanachochea uvumi huo kuwa upo karibu kutimia, ukizingatia mtendaji mkuu wa Man United yupo kimya kwa muda mrefu bila kutoa kauli yoyote. Wazungu […]
The post Hii ndio rekodi ya Man United iliyodumu kwa miaka 54, lakini imevunjwa chini ya Louis van Gaal …. appeared first on...
9 years ago
Bongo512 Dec
Jamie Vardy na kocha wake Claudio Ranieri watwaa tuzo ya EPL
![2F46191400000578-3351138-image-a-25_1449908826461](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/2F46191400000578-3351138-image-a-25_1449908826461-300x194.jpg)
Mshambuliaji wa Leicester Jamie Vardy pamoaja na Manager wa Leicester City Claudio Ranieri wameshinda tuzo ya kocha bora na mchezaji bora wa mwezi November kwenye ligi ya England (EPL) baada ya kukiongoza kikosi chao kukaa kileleni mwa ligi hiyo.
Vardy baada ya kufunga magoli matatu katika mechi za mwezi Novemba ikiwemo kuvunja rekodi ya magoli wakati kikosi chake kilipotoka sare ya 1-1 na Manchester United.
Goli lake katika dakika ya 24 dhidi ya Mashetani Wekundu lilimfanya avunje rekodi...
5 years ago
Mirror Online10 Mar
Jamie Vardy explains what Pepe Reina told him before penalty vs Aston Villa
5 years ago
FOX Sports Asia10 Mar
Leicester City 4-0 Aston Villa: Jamie Vardy back with a brace in thumping win
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-ic9Z031-S3E/VFuwlLnJviI/AAAAAAAARoo/qwIronaoPCg/s72-c/Record_full.png)
MESSI AFIKIA REKODI YA MAGOLI YA KUFUNGA KWENYE UEFA CHAMPIONS LEAGUE
![](http://1.bp.blogspot.com/-ic9Z031-S3E/VFuwlLnJviI/AAAAAAAARoo/qwIronaoPCg/s1600/Record_full.png)
Mshambuliaji kutoka nchini Argentina na klabu ya Barcelona Lionel Andrés "Leo" Messi Cuccittini amekuwa wa kwanza kuifikia rekodi ya ufungaji mabao mengi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, iliyokuwa inashikiliwa na aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid pamoja na Schalke 04 ya nchini Ujerumani Raúl González Blanco.
Messi ameifikia rekodi hiyo usiku wa kuamkia hii leo baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili katika mchezo wa mzunguuko wa nne wa michuano ya ligi ya...
5 years ago
Evening Standard23 Feb
Premier League top scorers 2019/2020: Pierre-Emerick Aubameyang closes gap on Jamie Vardy and Sergio Aguero
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39e-GiAhpVTdNSfOFi1Hn0vKZzVebBPpqo5Vs2stcXrGJPDALBeH0UkaNqJw5oyfBEKBSkwwBvgIm5BmGf9ixauP/TSNNAREALMADRID1.jpg?width=650)
TSN YAILETA REAL MADRID TANZANIA, FIGO, VAN NISTELROOY, OWEN KUKIPIGA NA STARS
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Barcelona yavunja rekodi ya Real Madrid, ipo hapa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania imefanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na wapinzani wao wakubwa Real Madrid ambayo waliiweka mwaka 2014.
Real Madrid mwaka jana ilifanikiwa kufunga magoli 178 ambayo yalikuwa hayajawahi kufungwa na klabu yoyote katika historia ya klabu ya Hispania.
Awali kabla ya mchezo kati ya Barcelona na Real Betis, Barcelona ilikuwa na magoli 176 na baada ya kuibuka na ushindi wa goli nne kwa bila dhidi ya Real Betis sasa Barcelona ndiyo...