Vardy ampita Van Nistelrooy, kabakiza mmoja kuwa mfungaji wa muda wote mfululizo
Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
” It’s Unbelievable” ndiyo kauli aliyoitoa mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Leicester City na Manchester United katika uwanja wa nyumbani wa Leicester, King Power
Katika mchezo huo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1 kwa 1, Vardy aliifungia timu yake goli 1 na yeye kujiandikia rekodi yake mpya ya kufunga goli 11 katika michezo 11 mfulizo akimpita gwiji wa zamani wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Nov
Jamie Vardy afikia rekodi ya Ruud Van Nistelrooy lakini kamzidi hapa!
Jamie Vardy
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mshambuliaji wa klabu ya Leicester City, Jamie Vardy (pichani) amefanikiwa kufikia rekodi ya staa wa zamani wa Manchester United, Ruud Van Nistelrooy kwa kufunga goli 10 kwa michezo 10 mfululizo.
Vardy amefikia rekodi hiyo aliyoiweka Van Nistelrooy aliyoiweka mwaka 2003 kwa kufunga michezo 10 mfululizo rekodi ambayo Vardy ameifikia wakati timu yake ya Leicester City ilipokuwa ikipambana na Newcastle United na kuibuka na ushindi wa goli 3 kwa bila.
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Mambo muhimu ya kukusaidia kuwa na furaha muda wote
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39e-GiAhpVTdNSfOFi1Hn0vKZzVebBPpqo5Vs2stcXrGJPDALBeH0UkaNqJw5oyfBEKBSkwwBvgIm5BmGf9ixauP/TSNNAREALMADRID1.jpg?width=650)
TSN YAILETA REAL MADRID TANZANIA, FIGO, VAN NISTELROOY, OWEN KUKIPIGA NA STARS
9 years ago
Bongo529 Oct
Thierry Henry amtaja Paul Scholes kuwa ndiye mchezaji bora wa muda wote katika ligi kuu England
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
Moyes : Van gaal apewe muda
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Van Gaal:tuna mlinzi wa kati mmoja tu
10 years ago
StarTV30 Sep
Van Gaal: Tuna mlinzi wa kati mmoja tu.
Kocha wa machester United, Louis van Gaal amesema Manchester united ina mlinzi wa kati mmoja tu mwenye uzoefu wakati huu kikosi hicho kinapotarajia kukipiga na west ham katika michuano ya ligi kuu ya England.
Marcos Rojo yuko fiti, lakini timu hiyo ina majeruhi kama Chris Smalling ana jeraha la mguu, Phil Jones ana jeraha kwenye, Jonny Evans ana jeraha la kifundo cha mguu na Tyler Blackett hatacheza mchezo huo.
Van Gaal analazimika sasa kuchukua wachezaji kwenye kikosi cha vijana...
9 years ago
Bongo529 Oct
Timbaland awataja Tupac na Notorious B.I.G. kama rappers bora wa muda wote