Januzaj arejea Man United akitokea Dortmund kwa mkopo
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Manchester United inaripotiwa kumrudisha Adnan Januzaj (pichani) aliyekuwa akichezea Borussia Dortmund ya Ujerumani kwa mkopo.
Man United imefikia uamuzi wa kumrudisha mchezaji huyo raia Ubelgiji baada ya wachezaji wanaowatumia kama mawinga wa kikosi hicho kuonekana kushuka kiwango na hivyo kumrudisha Janujaz ili aongeze nguvu katika kikosi hicho.
Mmoja wa wachezaji wa United ambae anaonekana kushuka kiwango ni Mephis Depay ambaye awali wakati anasajiliwa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Mar
Man United kwa Bayern, Chelsea kwa PSG
10 years ago
Bongo515 Sep
Rio Ferdinand apewa zawadi na Sir Bobby Charlton kwa kuitumikia Man United kwa miaka12
10 years ago
GPL23 Nov
5 years ago
Mirror Online31 Mar
Man Utd target Jude Bellingham 'a signature away' from completing Dortmund transfer
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Van Gaal aanza kwa kishindo Man United
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf2TrGV-AvZaTZ7UrdxqdctesvdTaNWH8VR7fa7UV6HhsE9WsKRRPbyILOoDGTpY7qFgO3t-qSJOt2PHFM2QZIqI/juanmatashorthairstyles3.jpg?width=650)
MATA ATUA MAN UNITED KWA ADA YA £37M
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-DE4eJMZQrtM/VZAYbgy7aYI/AAAAAAAACSs/_rP-nMYDfMU/s72-c/Gea_3160424b.jpg)
TAARIFA NJEMA KWA MASHABIKI WA MAN UNITED KUHUSU 'DAVID DE GEA'
![](http://3.bp.blogspot.com/-DE4eJMZQrtM/VZAYbgy7aYI/AAAAAAAACSs/_rP-nMYDfMU/s400/Gea_3160424b.jpg)