Japan yaichapa Uholanzi
Timu ya taifa ya Japan imekua timu ya mwisho kufuzu kwa robo fainali katika michuano ya kombe la dunia la wanawake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo513 Jul
Uholanzi yailaza Brazil 3-0,Uholanzi yashika nafasi ya 3 kombe la dunia
Timu ya taifa ya Uholanzi imeibamiza Brazil 3-0 na kutwaa nafasi ya tatu katika kombe la dunia huko Brazil. Mashabiki wa Brazil waliwazomea wachezaji wao akiwemo kocha Luiz felipe Scolari kwa utendakazi duni katika mechi hizi mbili za mwisho ambazo Brazil imefungwa mabao 10 nayo ikifunga moja. Brazil ilifungua mechi hiyo kwa kasi lakini ikafungwa […]
11 years ago
Michuzi
Ubalozi Wa Tanzania Japan Waipaisha Kahawa Kilimanjaro Kwenye Treini Ziendazo Kasi Japan

11 years ago
GPL10 years ago
BBCSwahili29 Aug
10 years ago
Michuzi
U-15 YAICHAPA 3-0, KOMBAINI YA MBEYA

Katika mchezo huo uliohudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi dakika 45 za kwanza zilimalizika U15 wakiwa mbele kwa bao 1-0.
Bao hilo lilifungwa na mshambuliaji Timoth Maziku dakika ya 17 kwa guu la kulia akimalizia krosi ya Nahodha Issa Abdi.

10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Ghana yaichapa Algeria
Nahodha wa kikosi cha Ghana Asamoah Gyan alifunga bao la pekee na la ushindi katika dakika za mwisho na kufufua matumaini ya Ghana
11 years ago
BBCSwahili04 Sep
Argentina yaichapa Ujerumani 4-2
Timu ya taifa ya Argentina imeicharaza Ujerumani magoli 4-2 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa
11 years ago
Vijimambo28 Sep
YANGA YAICHAPA 2-1 PRISONS

Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Young Africans leo imeipata ushindi wake wa kwanza kwenye VPL baada ya kuichapa timu ya maafande wa jeshi la Magereza nchini Prisons kwa mabao 2- 0 kwenye dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo kiliingia uwanjani kwa lengo la kusaka pointi muhimu kutokana na kuwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya...
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Brazil yaichapa Ufaransa 3 - 1
Brazili jana aliikimbiza mchamchaka ufaransa baada ya kuichabanga magoli matatu kwa moja.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania