JARIDA LA ‘BANG MAGAZINE’ LAADHIMISHA MIAKA 11
Mkurugenzi Mkuu wa Relim Entertaiment Ltd, Emelda Mwamanga (katikati) akizungumza jambo katika hafla ya kutimiza miaka 11 ya jarida la Bang. Kushoto ni Mkurugenzi wa Ubunifu na Masoko wa Relim, Mpegwa Mwarang' na Ofisa masoko, Darlina Mbedule. Mwamanga na Mbedule wakionyesha baadhi ya kurasa zinazomzungumzia mwanamke kwenye jarida hilo.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziSHEREHE ZA MIAKA 10 YA BANG MAGAZINE ZAFANA NDANI YA UKUMBI WA ESCAPE ONE
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
Dewji Blog25 May
Miaka kumi na moja ya jarida la BANG!
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment ,Emelda Mwamanga akipozi kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya kuongea na wanahabari kwenye sherehe ya kuadhimisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwa Jarida la Bang!.
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Relim Entertainment,...
11 years ago
GPLSHEREHE YA MIAKA 10 YA BANG MAGAZINE YAFANA NDANI YA UKUMBI WA ESCAPE ONE
11 years ago
Dewji Blog23 Jun
Waliong’ara kwenye red carpet sherehe za miaka 10 ya Bang Magazine ndani ya Escape One
Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akipata Picha kwenye Red Carpet.
Meneja wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akipata picha na mama Wa Msanii Toka Marekani Yvonne Sangudi Kwenye Red Carpet.
Miss Tanzania 2013/14 Happiness Watimanywa akipata Picha ya Red Carpet Miaka 10 ya Bang Magazine.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba akipata picha kwenye Red Carpet ya Bang Magazine.
Wageni wakiendelea kufurahia kupata picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10 ya Bang Magazine.
Mwanadada akifurahia...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-QVFvxB3vifE/VW1Gbdk868I/AAAAAAAAu9g/Yxkr0FKnjy4/s72-c/007d2d.jpg)
Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake
![](http://2.bp.blogspot.com/-QVFvxB3vifE/VW1Gbdk868I/AAAAAAAAu9g/Yxkr0FKnjy4/s640/007d2d.jpg)
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...
11 years ago
MichuziBARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA LAADHIMISHA MIAKA 10 KUANZISHWA KWAKE CHINI YA UWENYEKITI WA TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog04 Oct
Mahakama yazuia kufanyika kwa ‘Bang Bang Bear Fest’ jumamosi hii, limekiuka sheria za haki miliki
Mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam imezuia kufanyika kwa tamasha lililopewa jina ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa linatarajiwa kufanyika Jumamosi hii.
Uamuzi wa mahakama hiyo umetokana na malalamiko yaliyotolewa na Bongo5 Media Group ambao wanamiliki wazo halisi la tamasha la aina hiyo liitwalo Dar es Salaam Bear Fest.
Kwa hali hiyo mahakama hiyo imetoa amri ya kusitishwa mara moja kwa ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa lifanyike October 4 kwenye viwanja vya Posta...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-24guyxE_4bk/VC6pBLksSSI/AAAAAAAGnlg/H0lxR9y7DTI/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
NEWS ALERT: MAHAKAMA YAZUIA KUFANYIKA KWA ‘BANG BANG BEAR FEST’ JUMAMOSI HII, LIMEKIUKA SHERIA ZA HAKI MILIKI
Uamuzi wa mahakama hiyo umetokana na malalamiko yaliyotolewa na Bongo5 Media Group ambao wanamiliki wazo halisi la tamasha la aina hiyo liitwalo Dar es Salaam Bear Fest.
Kwa hali hiyo mahakama hiyo imetoa amri ya kusitishwa mara moja kwa ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa lifanyike October 4 kwenye viwanja vya Posta...