Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB , RICH KUFUATA NYAYO ZA STEVE NYERERE

Stori: Shakoor Jongo NYADHIFA! Bongo Movies Icons, Jacob Steven ‘JB’ na Single Mtambalike ‘Rich’ wako mbioni kufuata nyayo za Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wakitaka kushika nyadhifa mbalimbali. Bongo Movies Icons, Jacob Steven ‘JB’.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Ijumaa Wikienda hivi karibuni, maeneo ya Kinondoni, Dar,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Aahidi kufuata nyayo za Magufuli

MBUNGE wa Pangani, Jumaa Awesso (CCM), amepongeza utendaji kazi wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli katika suala la ukusanyaji mapato na kuahidi kwamba atashirikiana na wadau wa wilaya yake kuendana na kasi hiyo kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato na kusimamia vizuri vilivyopo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rammy apania kufuata nyayo za Kanumba

LICHA ya kuwa chipukizi katika tasnia ya filamu nchini, Rammy Galis, amesema atahakikisha anawafunika wasanii wa kiume na kufuata nyayo za aliyekuwa nguli, Steven Kanumba. Rammy ambaye ametamba kwenye filamu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii watakiwa kufuata nyayo za Diamond

WASANII nchini wametakiwa kuiga mfano wa msanii Nasseb Abdul ‘Diamond’ wa kuwa na uongozi wa kusimamia kazi zake ili waweze kufanikiwa kupitia kazi zao na sio kulalamika kila siku. Hayo...

 

9 years ago

Michuzi

ABBAS MAZIKU: MFANYABIASHARA ANAYETAMANI KUFUATA NYAYO ZA BILIONEA MO DEWJI

04.jpgkMfanyabiashara wa Kimataifa Abbas Maziku akiwa katika picha ya pamoja na Mfanyabiashara ambaye pia ni Bilionea kijana Barani Afrika, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji, 'MO' ambaye anafuata nyayo zake katika kufikia malengo yake kibiashara.
Na Mwandishi WetuBIASHARA ya kusafirisha mazao ni miongoni mwa biashara zenye ushindani mkubwa kutokana na kutawaliwa na matajiri wenye asili ya Kiasia.
Kutokana na sababu hiyo imewafanya waafrika wengi kuwa na uthubutu katika biashara...

 

9 years ago

Dewji Blog

ABBAS MAZIKU: Mfanyabiashara anayetamani kufuata nyayo za Bilionie kijana Barani Afrika Mo Dewji

04.jpgkMfanyabiashara wa Kimataifa  Abbas Maziku akiwa katika picha ya pamoja na Mfanyabiashara ambaye pia ni Bilionea kijana Barani Afrika, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji, ‘MO’  amabaye anafuata nyayo zake katika kufikia malengo yake kibiashara.

Na Mwandishi Wetu

BIASHARA ya kusafirisha mazao ni miongoni mwa biashara zenye ushindani mkubwa kutokana na kutawaliwa na  matajiri wenye asili ya  Kiasia.

Kutokana na sababu hiyo imewafanya waafrika wengi  kuwa na uthubutu katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Steve Nyerere: Wamenikomoa

MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...

 

10 years ago

Michuzi

steve nyerere atangaza nia

MSANII wa filamu nchini Steven Mengere 'Steve Nyerere' (kulia) ametangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni jijini Dar es salaam, huku akiwataka Watanzania wenzake kujitokeza kuandikisha katika daftari la wapiga kura, ili wasikose kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.  Akizungumza katika mkutano maalum wa kutangaza nia na kuhamasisha watu kujiandikisha, alisema kujiandikisha ni haki ya kila Mtanzania hivyo kwa vijana na wazee hakuna sababu ya...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AAIBIKA UWANJANI

Dustan Shekidele, Morogoro
NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na mashabiki wa Klabu ya Simba baada ya kuingia uwanjani na demu aliyevaa ‘kihasarahasara’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’akiwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani