Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB Ashangazwa na Wanaowaponda Watangaza Nia Kutoka Bongo Movies

Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ anawashaanga baadhi ya watu wanaowashambulia na kuwanaoponda kwa maneno wasanii wa bongo movies waliojitokeza kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram, JB aliandika; Nashangaa sana watu wanao toa matusi na maneno ya kejeli kwa wasanii waliotia nia.nasema mnatukosea.sio haki...kama unaona humkubali ni vyema ukanyamaza waachie wapiga kura wa jimbo...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Vihoja Kutoka Bongo Movies: Safari Bado ni Ndefu!

Ukisikia kuigiza watu wanaigiza mpaka mavazi.ukimwona kwa mbele kwenye camera Yuko smart! Hii ilikuwa katika shooting . scene mojawapo ya bongo Movies.

By Natasha Mamvi

 

9 years ago

Dewji Blog

EXCLUSIVE!!: Mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu na Idris wawakivutio kuapishwa kwa Dk.Magufuli

_MG_1256

Wema Sepetu (katikati), Idris Sultan upande wa kulia na kushoto ni Mh. Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji wakipata picha ya pamoja katika jukwaa hilo la kulia ambalo lilikuwa maalum kwa wageni mbalimbali waalikwa na watu maalufu ndani na nje leo wakati wa tukio la kuapichwa kwa Rais wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli. 

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[TEMEKE-DAR ES SALAAM] Wakati Watanzania na dunia nzima leo  Novemba 5, 2015)  imeshuhudia kuapishwa  kwa rais wa tano...

 

10 years ago

GPL

WATANGAZA NIA YA URAIS WASICHAFUANE

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda (Mbunge wa Katavi). Hakika Mungu ni mwema sana. Ametuwezesha leo kuwa na nguvu ya kutafakari hatima ya nchi yetu ambayo inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 hapo Oktoba.Mwishoni mwa wiki iliyopita tulishuhudia makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakijitokeza kuwania urais kupitia chama hicho na tayari wameanza kuchuana kutangaza nia yao baada ya vikao vya Kamati Kuu Taifa (CC) na...

 

10 years ago

Raia Mwema

Watangaza nia na sanaa ya kujieleza ( 4)

JUMA la jana tuliangazia mambo muhimu ya kuzingatia unapokwenda kutoa hotuba.

Maggid Mjengwa

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jijini Dar jana jioni tayari kwa mpambano wao na Bongo Fleva keshokutwa Ijumaa. Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere (katikati) akionyesha ujuzi wakati wa mazoezi hayo jana.…

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies kutoka kushoto ni Mwenyekiti wao Steve Nyerere, William Mtitu na Issa Mussa 'Cloud 112' baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam wakitokea Bagamoyo walipokwenda kujiwinda kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Bongo Fleva leo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar.

 

11 years ago

GPL

NIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0

Mwanamuziki Ali Kiba akimtoka msanii wa Bongo Movies, Issa Mussa 'Cloud 112'. Mwanamuziki H-Baba akijaribu kuwatoka wachezaji wa Bongo Movies.…

 

10 years ago

GPL

BONGO MOVIES KWELI MMEKUBALI KUZIDIWA NA BONGO FLEVA?

LEO nimewakumbuka kwa mara nyingine ndugu zangu wasanii ambao mnafanya sinema za Kibongo, Bongo Movies. Sina haja ya kuwataja majina maana mko wengi, naweza nikamaliza barua yangu yote nikisema niwataje majina yenu mmojammoja. Bila shaka mu-wazima wa afya na wale ambao kwa namna moja au nyingine afya haiko poa, nawaombea kwa Mungu mpone haraka na mrudi katika hali ya kawaida, muendelee na kazi zenu za kujitafutia riziki. Mkitaka...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Watangaza nia vijana wamgeuka Pinda

WATANGAZA nia vijana kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemgeuka mtangaza nia mwenzao ambaye pia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa kauli aliyowahi kuitoa bungeni mjini Dodma, maarufu kama ‘piga tu’, wakisema haifai na ni aibu kwa kiongozi.

Vijana hao kwa nyakati tofauti walitoa kauli hiyo jana mjini Dodoma katika ukumbi wa Chimwaga kwenye mdahalo ulioandaliwa na kipindi cha Mikikimikiki 2015 kinachorushwa na kituo cha Star TV.

Kauli hizo zilikuja baada ya mwanafunzi mmoja wa Chuo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani