Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB:Diana ni Mmoja Kati ya Waigizaji Wanne Wakike Ninaowakubali

Mwigizaji na muongozaji  mkongwe wa filamu zakibongo, Jacob Stephen “JB” amefunguka na kumtajamwigizaji wa  kike , Dianarose Kimary “Diana” kuwa ni moja kati ya waigizaji wa kike wanne anaowakubali.

“Kwangu mimi Diana kimaro atabaki kuwa mmoja kati ya waigizaji wanne wakike ninaowakubali”.

JB aliyasema haya wakati wakiwa  “ON SET” kwa movie yake mpya inayoitwa KALAMBATI LOBO ambayo inafanyika chini ya kampuni yake mwenyewe ya Jerusalem Films. Diana ni moja kati ya waigizaji wanaoshiriki...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, AHAMISHA SITA, WATATU WA ZAMANI AWAWEKA KIPORO, PIA ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE WAPYA WA WIZARA NA KUHAMISHA MMOJA.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz   Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,STATE HOUSE,1 BARACK OBAMA ROAD,11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...

 

11 years ago

Michuzi

majambazi watatu kati ya wanne wadakwa zanzibar

Na Mohammed Mhina,  wa Jeshi la Polisi- Zanzibar Makachero wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kuzikamata silaha mbili na risasi 40 za Kivita zinazosadikiwa kutumika katika matukio mbalimbali ya kihalifu likiwemo la mauaji ya Askari Polisi mmoja lililotokea Machi 2, mwaka huu huko kwenye Hoteli ya Kitalii ya Pongwe Bay mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.  Katika tukio hilo Askari Polisi mmoja mwenye namba F.5607 Koplo Mohammed Mjombo(44) aliuawa huku mwenzake mwingine mwenye namba F.6198...

 

11 years ago

Michuzi

JK aapisha Balozi mmojA na Wajumbe wanne wa Tume ya Operesheni Tokomeza

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amemwapisha balozi mmoja pamoja na wajumbe wanne wa Tume ya Operesheni Tokomeza katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Balozi aliyeapishwa ni Mhe. oseph Edward Sokoine ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.Wajumbe walioapishwa nia pamoja na Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Mstaafu Hamisi Amiri Msumi,Jaji Mstaafu Steven Ernest Ihema,Jaji Mstaafu Vincent Damian...

 

10 years ago

GPL

DULLY: HAJAOA, ANA WATOTO WANNE, KILA MMOJA NA MAMA YAKE

Mwana muziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes. Na Saphyna Mlawa
Dar es Salaam
UNAPOLITAJA jina la Dully Sykes katika ulimwengu wa Muziki wa Bongo Fleva hakuna shabiki wa muziki huo ambaye atasema hamfahamu kijana huyu aliyekulia mitaa ya Kariakoo na Ilala jijini Dar. Mtindo wake wa majivuno na kujisifia ni kati ya vitu vilivyomfanya achukiwe na wengi, hali ambayo mwenyewe aliiona kama sifa kubwa ambayo ilisababisha kujiita Mr...

 

10 years ago

StarTV

Van Gaal: Tuna mlinzi wa kati mmoja tu.

Kocha wa machester United, Louis van Gaal amesema Manchester united ina mlinzi wa kati mmoja tu mwenye uzoefu wakati huu kikosi hicho kinapotarajia kukipiga na west ham katika michuano ya ligi kuu ya England.

 
Marcos Rojo yuko fiti, lakini timu hiyo ina majeruhi kama Chris Smalling ana jeraha la mguu, Phil Jones ana jeraha kwenye, Jonny Evans ana jeraha la kifundo cha mguu na Tyler Blackett hatacheza mchezo huo.

 
Van Gaal analazimika sasa kuchukua wachezaji kwenye kikosi cha vijana...

 

10 years ago

BBCSwahili

Van Gaal:tuna mlinzi wa kati mmoja tu

Kocha wa machester United, Louis van Gaal amesema Manchester united ina mlinzi wa kati mmoja tu mwenye uzoefu

 

9 years ago

BBCSwahili

Mmoja kati ya watoto 3 anaolewa mapema Afrika

Mmoja kati ya watoto watatu barani Afrika wanaolewa kabla hawajatimia umri wa miaka 18 Unicef imesema katika mkutano wa AU huko Zambia

 

9 years ago

Mwananchi

YALIYOJIRI 2015: Kivumbi CCM kati ya 42 anatakiwa mmoja

Julai 1 Ni hatua ambayo itasababisha kivumbi na jasho kati ya wagombea 42 waliojitokeza kuwania urais kupitia CCM, anatakiwa kubaki mmoja tu na mchakato wa kuchukua na kurejesha fomu unafungwa kesho.

 

10 years ago

Africanjam.Com

MMOJA KATI YA HAWA KUIBUKA KOCHA MPYA WA REAL MADRID

Jina la kocha wa zamani wa Liverpool Rafa Benitez limetajwa kuongoza orodha ya makocha wanaotarajiwa kuwania nafasi ya kumrithi kocha wa sasa Carlo Ancelotti baada ya Mtaliano huyo kuwa hatarini kufukuzwa kazi kwa mujibu wa ripoti kadhaa zilizoonekana kwenye vyombo vya habari .Benitez ambaye kwa sasa anafundisha klabu ya Napoli ya nchini Italia amepewa kipaumbele kama chaguo la kwanza la kurithi nafasi ya Ancelotti na rais wa Real Madrid Florentino Perez ambaye tayari inasemekana kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani