Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE UMECHOSHWA NA UNAHITAJI TALAKA ? FUATA HATUA HIZI

Na Bashir Yakub Kuomba talaka si dhambi. Kama lingekuwa dhambi sheria isingeruhusu jambo hilo kwakuwa si kawaida ya sheria  kuhamasishi madhambi.  Ni kwasababu hii nasema kuwa atakayeona amebanwa basi aombe talaka. Si kosa hata kidogo kufanya hivyo isipokuwa ndivyo tunavyoelekezwa  na sheria zetu tunazozipenda na kuziheshimu sana. 1.   KUVUNJIKA  KWA  NDOA. Kuvunjika kwa ndoa kwa mujibu wa sheria zetu za...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: JE UMECHOSHWA NA UNAHITAJI TALAKA? FUATA HATUA HIZI

Na Bashir Yakub
Kuomba talaka si dhambi. Kama lingekuwa dhambi sheria isingeruhusu jambo hilo kwakuwa si kawaida ya sheria  kuhamasisha madhambi.  Ni kwasababu hii nasema kuwa atakayeona amebanwa basi aombe talaka. Si kosa hata kidogo kufanya hivyo isipokuwa ndivyo tunavyoelekezwa  na sheria zetu tunazozipenda na kuziheshimu sana.
1.   KUVUNJIKA  KWA  NDOA.
Kuvunjika kwa ndoa kwa mujibu wa sheria zetu za Tanzania kuna mazingira mengi. Baadhi ya mazingira hayo ni yale yaliyoorodheshwa kifungu...

 

10 years ago

GPL

MMEGOMBANA? FUATA MBINU HIZI KURUDISHA MAPENZI

Kugombana ni jambo ambalo halikwepeki katika uhusiano wa kimapenzi. Upo ugomvi ambao ni wa kawaida na huisha kirahisi lakini upo ugomvi ambao huwa mkubwa na kama ukitokea na ukashindwa kujua nini cha kufanya kuweka mambo sawa, husababisha ufa kwenye penzi lenu. Leo tutazungumzia mambo muhimu ya kufanya inapotokea wewe na mpenzi wako mmeingia katika ugomvi mkubwa, mmetoleana maneno machafu au hata kupigana. 1. TAFAKARI CHANZO CHA...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hatua hizi Maliasili zisiishie hapa

WIZARA ya Maliasili na Utalii jana iliwasimamisha kazi maofisa 21 wa Idara ya Wanyamapori. Naibu Waziri wa wizara hiyo, Lazaro Nyalandu, ndiye alitangaza uamuzi huo akisema hatua hiyo inatokana na...

 

9 years ago

Mwananchi

Tunampongeza JPM kwa hatua hizi

Tumepokea kwa matumaini mema mikakati mbalimbali iliyotangazwa na Rais John Pombe Magufuli (JPM) ya kuimarisha mapato ya Serikali kwa kukusanya kodi zaidi na kupunguza matumizi ya fedha ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku safari za nje ya nchi.

 

9 years ago

GPL

KAULI HIZI NI DALILI YA MWANAUME KAKUCHOKA, CHUKUA HATUA!

Leo mpenzi msomaji wa safu hii, nimekuja na mada mpya ambayo imenisukuma kuwaandikia wanandoa na wapenzi walioko kwenye uhusiano kwa muda mrefu kwani wengi hujikuta wameachwa na kuona kuwa ni ghafla kumbe hawakutambua kwa kujua ni utani. Kauli anazozitoa mwanaume wako ni wazi kabisa kuwa amekuchoka wengi hawazitambui sasa zisome kwa makini na uzielewe.Tukiachana sisi  si wa kwanza
Kauli kama hii mwanaume hawezi kukuambia mkiwa...

 

9 years ago

Michuzi

HATI MILIKI INAPOPOTEA, HARAKA CHUKUA HATUA HIZI.

Hati miliki  ni  mali  inayohamishika  na  hivyo  inaweza kupotea.  Kupotea  kwa  hati miliki  kunaweza  kuwa  katika  mazingira  mengi.  Inaweza kupotea katika  mazingira ya  kuibiwa,  kufichwa  au  kutupwa  kwa  makusudi  kwa   malengo  mabaya  na  mazingira  mengine  yoyote  yanayofanana  na matukio  hayo.  Lakini   mara  kwa  mara  kupotea  kwa  hati  huhusishwa  na  mbinu  chafu  za  kubadilisha  umiliki   pasipo  uhalali  au  kutumika  katika  shughuli  za  kujipatia mikopo   pasi  na...

 

11 years ago

GPL

UMECHOSHWA NA UPWEKE? ZINGATIA HAYA

NI wiki nyingine ambapo Mwenyezi Mungu ametujaalia kukutana katika busati letu la mahaba ambapo tunajadiliana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Kwa ndugu zangu ambao mpo kwenye mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, nawatakia mfungo mwema. Tukirudi kwenye mada yetu ya hapo juu, leo nataka kuzungumza na wewe rafiki yangu ambaye umri wa kuingia kwenye ndoa umefika lakini bado hujabahatika kumpata mwenzi wako ambaye...

 

11 years ago

GPL

UMECHOSHWA NA UPWEKE? JARIBU KUZINGATIA HAYA-2

Nimatumaini yangu kwamba msomaji wangu na rafiki yangu uko poa! Karibu tena katika busati la mahaba, mahali ambapo tunabadilishana mawazo, kujuzana na kushauriana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo mapenzi. Wiki iliyopita nilianza kueleza kuhusu mada hiyo hapo juu ambayo ilikuwa maalum kwako wewe rafiki yangu ambaye umri wa kuoa umefika lakini unasumbuliwa na upweke na hujui jinsi ya kumnasa mwanamke au mwanaume wa maisha yako....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Fuata misingi sio watu — 3

KATIKA mfululizo wa makala hizi za ZITTO KABWE zilizochapwa kwa mara ya kwanza katika gazeti hili miezi michache iliyopita, wiki iliyopita tumeona ufuasi wa misingi ya Chama cha Demorasia na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani