Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MMEGOMBANA? FUATA MBINU HIZI KURUDISHA MAPENZI

Kugombana ni jambo ambalo halikwepeki katika uhusiano wa kimapenzi. Upo ugomvi ambao ni wa kawaida na huisha kirahisi lakini upo ugomvi ambao huwa mkubwa na kama ukitokea na ukashindwa kujua nini cha kufanya kuweka mambo sawa, husababisha ufa kwenye penzi lenu. Leo tutazungumzia mambo muhimu ya kufanya inapotokea wewe na mpenzi wako mmeingia katika ugomvi mkubwa, mmetoleana maneno machafu au hata kupigana. 1. TAFAKARI CHANZO CHA...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UKIZIJUA MBINU HIZI, MAUMIVU YA MAPENZI UTAYASIKIA TU

Mapenzi ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine. Unahitaji kuielewa vizuri sanaa hiyo ili uweze kuishi vyema na mwenzi wako. Kama ilivyo kwenye upigaji wa gitaa, ili ulipige vizuri na kuweza kutoa muziki mtamu, ni lazima ujifunze. Vivyo hivyo kwenye mapenzi, ili uishi kwa amani na furaha na mwenzi wako, ni lazima ujifunze mambo muhimu ya kuzingatia ambayo ukiyafanyia kazi, kamwe hutakuja kukutana na maumivu ya mapenzi. 1. KUWA...

 

10 years ago

GPL

UKIZIJUA MBINU HIZI, MAUMIVU YA MAPENZI UTAYASIKIA TU -2

Ni Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye kona hii, kujuzana na kuelimishana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kujadili mada hii kama inavyojieleza hapo juu. Nikushukuru wewe ambaye ulinitumia ujumbe mfupi wa maneno na kutoa mawazo yako kuhusu kile tulichokijadili. Leo tunaendelea kuangalia mambo mbalimbali ambayo kama ukimfanyia mwenzi wako, utaishi naye vizuri na maumivu ya mapenzi utakuwa...

 

10 years ago

GPL

JE UMECHOSHWA NA UNAHITAJI TALAKA ? FUATA HATUA HIZI

Na Bashir Yakub Kuomba talaka si dhambi. Kama lingekuwa dhambi sheria isingeruhusu jambo hilo kwakuwa si kawaida ya sheria  kuhamasishi madhambi.  Ni kwasababu hii nasema kuwa atakayeona amebanwa basi aombe talaka. Si kosa hata kidogo kufanya hivyo isipokuwa ndivyo tunavyoelekezwa  na sheria zetu tunazozipenda na kuziheshimu sana. 1.   KUVUNJIKA  KWA  NDOA. Kuvunjika kwa ndoa kwa mujibu wa sheria zetu za...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: JE UMECHOSHWA NA UNAHITAJI TALAKA? FUATA HATUA HIZI

Na Bashir Yakub
Kuomba talaka si dhambi. Kama lingekuwa dhambi sheria isingeruhusu jambo hilo kwakuwa si kawaida ya sheria  kuhamasisha madhambi.  Ni kwasababu hii nasema kuwa atakayeona amebanwa basi aombe talaka. Si kosa hata kidogo kufanya hivyo isipokuwa ndivyo tunavyoelekezwa  na sheria zetu tunazozipenda na kuziheshimu sana.
1.   KUVUNJIKA  KWA  NDOA.
Kuvunjika kwa ndoa kwa mujibu wa sheria zetu za Tanzania kuna mazingira mengi. Baadhi ya mazingira hayo ni yale yaliyoorodheshwa kifungu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbinu hizi hutumiwa na wasafirishaji dawa za kulevya

Dar es Salaam. Usafirishaji na utumuaji dawa za kulevya unapigwa vita kila kona ya dunia. Lakini magenge ya watu wanaozalisha na kusafirisha dawa hizo wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali kufanikisha biashara hiyo haramu.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa .

Viongozi wa Chadema/UKAWA kuweni Makini sana na huu mfumo wa BVR bao la mkono liko njiani kufanikiwa. Mkipuuza mtalia kilio ambacho hatapatikana mtu wa kuwafuta machozi. Vitambulisho fake ni vingi sana na hakuna mashine ya kuvitambua […]

The post Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa . appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

MBINU 5 ZA KUJIFUNZA MAPENZI ILI USIACHIKE, USISALITIWE!

Nilishawahi kusema huko nyuma kwamba, mapenzi yanachukuwa sehemu kubwa sana ya maisha yetu ya kila siku.Tunafanya kazi usiku na mchana lakini pesa tunazopata tunazitumia kwenye kufurahia maisha na wapenzi wetu. Ndiyo maana ukiwa hauko sawa kimapenzi, namaanisha ukiwa huna mpenzi wakati unahitaji kuwa naye au unaye lakini anakukorofisha, hata mambo mengine huwezi kuyafanya kwa ufasaha.
Lakini yule ambaye maisha yake ya...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

HIZI NDIO MBINU ZA CCM ZA KUIBIA WANANCHI KURA ZAO

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania wa kutoka Zanzibar na Tanganyika. Ama sina budi ila kumshukuru Allah Salawatu Wasalamu, kwakunipatia uzima, pumzi na wasia wakuweza kuandika Makala hii kwenu nyinyi WAZALENDO WA ZANZIBAR NA TANGANYIKA. Kama tulivosikia katika […]

The post HIZI NDIO MBINU ZA CCM ZA KUIBIA WANANCHI KURA ZAO appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

BBCSwahili

Valentines Day: Je, unatafuta mpenzi - hizi hapa mbinu saba za kumtia 'kibindoni'

Kuchumbiana mitandaoni ni kitu maarufu sana duniani lakini je kiwango chake cha mafanikio kikoje? iwapo huna mpenzi siku ya Valentine na unafikiria kutafuta mtandaoni , hizi ndio mbinu zinazoweza kukufanya ufanikiwe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani