Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKIZIJUA MBINU HIZI, MAUMIVU YA MAPENZI UTAYASIKIA TU -2

Ni Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye kona hii, kujuzana na kuelimishana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kujadili mada hii kama inavyojieleza hapo juu. Nikushukuru wewe ambaye ulinitumia ujumbe mfupi wa maneno na kutoa mawazo yako kuhusu kile tulichokijadili. Leo tunaendelea kuangalia mambo mbalimbali ambayo kama ukimfanyia mwenzi wako, utaishi naye vizuri na maumivu ya mapenzi utakuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UKIZIJUA MBINU HIZI, MAUMIVU YA MAPENZI UTAYASIKIA TU

Mapenzi ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine. Unahitaji kuielewa vizuri sanaa hiyo ili uweze kuishi vyema na mwenzi wako. Kama ilivyo kwenye upigaji wa gitaa, ili ulipige vizuri na kuweza kutoa muziki mtamu, ni lazima ujifunze. Vivyo hivyo kwenye mapenzi, ili uishi kwa amani na furaha na mwenzi wako, ni lazima ujifunze mambo muhimu ya kuzingatia ambayo ukiyafanyia kazi, kamwe hutakuja kukutana na maumivu ya mapenzi. 1. KUWA...

 

10 years ago

GPL

MMEGOMBANA? FUATA MBINU HIZI KURUDISHA MAPENZI

Kugombana ni jambo ambalo halikwepeki katika uhusiano wa kimapenzi. Upo ugomvi ambao ni wa kawaida na huisha kirahisi lakini upo ugomvi ambao huwa mkubwa na kama ukitokea na ukashindwa kujua nini cha kufanya kuweka mambo sawa, husababisha ufa kwenye penzi lenu. Leo tutazungumzia mambo muhimu ya kufanya inapotokea wewe na mpenzi wako mmeingia katika ugomvi mkubwa, mmetoleana maneno machafu au hata kupigana. 1. TAFAKARI CHANZO CHA...

 

9 years ago

GPL

MAPENZI YANA MAUMIVU LAKINI YANASAHAULIKA!

Ni wiki nyingine mpenzi msomaji wa safu hii ya XXlove tunakutana tena jamvini hapa kwa neema na rehema za Mwenyezi Mungu. Leo tunaangalia ni kwa namna gani mapenzi yanaweza kuwa sumu kali inayosambaa kwa haraka sana katika miili ya wanadamu wa jinsi zote. Ni kweli kwamba, mapenzi yanatesa kuliko kitu chochote katika uso wa dunia hii. Ni mapenzi hayohayo ambayo yana nguvu na maumivu makali kuliko maumivu ya kitu chochote...

 

9 years ago

GPL

PAMOJA NA MAUMIVU, HUWEZI KUYAEPUKA MAPENZI

Nianze kwa kuwashukuru wasomaji wote waliotuma ujumbe na hata wengine kupiga, kupongeza na kushauri kuhusu mada ya wiki iliyopita katika safu yetu hii ya XXLove. Wiki iliyopita tulizungumza kuhusu kitu gani mapenzi yalikufanyia. Leo nitazungumza na wale walioumizwa na mapenzi na kutamani kuyaepuka, wakati ukweli ni kwamba hayaepukiki moja kwa moja isipokuwa labda kwa muda. Najua wengi mnaweza kushangaa lakini huo ndiyo ukweli...

 

9 years ago

Vijimambo

PAMOJA NA MAUMIVU, HUWEZI KUYAEPUKA MAPENZI

Nianze kwa kuwashukuru wasomaji wote waliotuma ujumbe na hata wengine kupiga, kupongeza na kushauri kuhusu mada ya wiki iliyopita katika safu yetu hii ya XXLove.

Wiki iliyopita tulizungumza kuhusu kitu gani mapenzi yalikufanyia. Leo nitazungumza na wale walioumizwa na mapenzi na kutamani kuyaepuka, wakati ukweli ni kwamba hayaepukiki moja kwa moja isipokuwa labda kwa muda.

Najua wengi mnaweza kushangaa lakini huo ndiyo ukweli wenyewe, pamoja na kuumizwa, kuteswa, kusimangwa, kutukanwa, kupigwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

MTUNISY: Siku Hizi Mtu Akikuumiza Nawe Muumize Tu Mradi Mugawane Maumivu

Tugawane Maumivu ndio jina la filamu mpya iliyotoka hivi karibuni kutoka kwa muigizaji na muongozaji wa filamu, Nice Mohammed  maarufu kama Mtunisy. Akizungumzia maendeleo ya kazi hii sokoni, Mtunisy aliwashukuru mashabiki na wapenzi wote waliomuunga mkono kwa kununua kazi yake na kuwaomba waendelee kumuunga mkono.

 “Ahasanteni wapendwa kwa sapoti yenu kubwa mlioionyesha kwa kununua film yangu mpya hakika nimeamini huwezi kuchukiwa na wote hii imedhihilisha ktk kz yangu hii ya TUGAWANE...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa .

Viongozi wa Chadema/UKAWA kuweni Makini sana na huu mfumo wa BVR bao la mkono liko njiani kufanikiwa. Mkipuuza mtalia kilio ambacho hatapatikana mtu wa kuwafuta machozi. Vitambulisho fake ni vingi sana na hakuna mashine ya kuvitambua […]

The post Kuna mbinu chafu za ccm hizi hapa . appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbinu hizi hutumiwa na wasafirishaji dawa za kulevya

Dar es Salaam. Usafirishaji na utumuaji dawa za kulevya unapigwa vita kila kona ya dunia. Lakini magenge ya watu wanaozalisha na kusafirisha dawa hizo wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali kufanikisha biashara hiyo haramu.

 

10 years ago

GPL

MBINU 5 ZA KUJIFUNZA MAPENZI ILI USIACHIKE, USISALITIWE!

Nilishawahi kusema huko nyuma kwamba, mapenzi yanachukuwa sehemu kubwa sana ya maisha yetu ya kila siku.Tunafanya kazi usiku na mchana lakini pesa tunazopata tunazitumia kwenye kufurahia maisha na wapenzi wetu. Ndiyo maana ukiwa hauko sawa kimapenzi, namaanisha ukiwa huna mpenzi wakati unahitaji kuwa naye au unaye lakini anakukorofisha, hata mambo mengine huwezi kuyafanya kwa ufasaha.
Lakini yule ambaye maisha yake ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani