MTUNISY: Siku Hizi Mtu Akikuumiza Nawe Muumize Tu Mradi Mugawane Maumivu
Tugawane Maumivu ndio jina la filamu mpya iliyotoka hivi karibuni kutoka kwa muigizaji na muongozaji wa filamu, Nice Mohammed maarufu kama Mtunisy. Akizungumzia maendeleo ya kazi hii sokoni, Mtunisy aliwashukuru mashabiki na wapenzi wote waliomuunga mkono kwa kununua kazi yake na kuwaomba waendelee kumuunga mkono.
“Ahasanteni wapendwa kwa sapoti yenu kubwa mlioionyesha kwa kununua film yangu mpya hakika nimeamini huwezi kuchukiwa na wote hii imedhihilisha ktk kz yangu hii ya TUGAWANE...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl7BOeGlGv-CmlTXLJH4-CtfM4xdWHodZY17c1YDp7c13l1UOX**zbijAnZ4kxjRDO2To7GSZBzoorqrYTleO8L94ZiQhMfg/Love.jpg)
UKIZIJUA MBINU HIZI, MAUMIVU YA MAPENZI UTAYASIKIA TU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT0G*4mlmktMqQ*uLR9OP3M5L1ahUu5vtCFmW*AUPb19xfJFljuFUID1*a9DWJYVG8z7cdItDxuIFajxIT1HTSMz/Love.jpg)
UKIZIJUA MBINU HIZI, MAUMIVU YA MAPENZI UTAYASIKIA TU -2
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Hizi si zama za zidumu fikra za mtu mmoja
KWA masuala ya mapenzi au imani, kila mtu huwa na haki ya kupenda akitakacho na kuamini lile analolipenda na hata kuliabudu. Ukiachilia wengi wanaoabudu Mungu, wapo wanaoabudu sanamu, watu, wanyama...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-vlkxPYfp5m8/VXvTLbHPCSI/AAAAAAAAvqY/RMiuwP-R3yI/s72-c/wiw.jpg)
Sitti Mtemvu alivyoyabadilisha maumivu ya siku 30 kuwa biashara!
![](http://3.bp.blogspot.com/-vlkxPYfp5m8/VXvTLbHPCSI/AAAAAAAAvqY/RMiuwP-R3yI/s640/wiw.jpg)
Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Uingereza kuanzia mwaka 1940 hadi 1945 na kisha kurejea tena mwaka 1951 hadi 1955, Winston Churchill aliwahi kusema, “a pessimist sees the difficulty in every opportunity; an optimist sees the opportunity in every difficulty.”
Alimaanisha kuwa “mtu muoga huona ugumu kwenye kila fursa na mtu jasiri huona fursa kwenye kila ugumu.”2014 ulikuwa ni mwaka wenye majaribu na mitihani mingi kwa Sitti Mtemvu. Mara tu baada ya kushinda taji la Miss Tanzania 2014, skendo...
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Enrico: Hakuna Bongo Fleva siku hizi
NA HERIETH FAUSTINE
MTAYARISHAJI wa muziki kutoka studio ya Sound Crafters, Enrico Figueroa ‘Enrico’, amesema nyimbo zote
zinazotoka siku hizi hazina ubora, ndiyo maana haziwezi kudumu hata kwa miaka miwili.
“Mpaka sasa sijaona wimbo mkali, nyimbo zote ni sawa tu, zinakaa siku mbili, tatu au wiki nne zinapotea, hakuna
Bongo Fleva ya kukaa miaka miwili,” alisema Enrico, alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Planet Bongo
kinachorushwa na kituo cha runinga cha EATV.
Aliongeza kwamba ili wimbo...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Siyo kinyozi tena, siku hizi ni saluni!
Hapo zamani za kale wakati wa enzi zetu, mkaka alikuwa akitaka kunyoa nywele anaenda kwa kinyozi na kinyozi alikuwa mwanaume. Mdada akitaka kunyoa nywele zake anamtafuta mdada mwenzie amnyoe nywele.
Vinyozi walikuwa wa aina kuu mbili walikuweko wale vinyozi ambao shughuli zao walizifanyia chini ya mti, na wengine ndiyo walikuwa wanakuwa na chumba ambacho nje utakuta kibao kimeandikwa kinyozi.
Kwa kinyozi ndiko kulikokuwa sehemu ya kupata habari mbalimbali za nini kinaendelea katika jamii....
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Picha:Siku ya Leo Hizi za Kidoti Zimependwa na Wengi
Picha za mrembo anaefanya vitu vingi hapa mjini kuanzia mitindo, utangazaji,ujasiliamali hadi uimbaji wa muziki, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ alizozitupia leo kwenye ukurasa wake wa mtandaoni zimepokea’ LIKES’ na COMMENTS kutoka kwa wadau na mashabiki wa kike na wakiume huu kila mmoja akisema lake juu ya picha hizo.
Yote kwa yote Kidoti hapo ametokelezea ile sana, kwa upande wetu hizi za Kidoti ndio picha bomba zaidi kwa siku ya leo kati ya za mastaa wote wa Bongo Movies.
Tupia mtazamo wako...
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
Siku hizi kuna uchangudoa wa kisasa, wa kisiasa hasa
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Mr Chuz: Hizi ndizo kanuni 10 za maisha yangu ya kila siku