KAULI HIZI NI DALILI YA MWANAUME KAKUCHOKA, CHUKUA HATUA!
![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff14mbt6fmKw5AXdaZUljHfJrG1iNZDJUHKBni1RqNi9W4WpiR9*NYgKF-nkvCs-VSKdkja61yN00wnizK0fK7XA/highmaintenance.jpg?width=650)
Leo mpenzi msomaji wa safu hii, nimekuja na mada mpya ambayo imenisukuma kuwaandikia wanandoa na wapenzi walioko kwenye uhusiano kwa muda mrefu kwani wengi hujikuta wameachwa na kuona kuwa ni ghafla kumbe hawakutambua kwa kujua ni utani. Kauli anazozitoa mwanaume wako ni wazi kabisa kuwa amekuchoka wengi hawazitambui sasa zisome kwa makini na uzielewe.Tukiachana sisi si wa kwanza Kauli kama hii mwanaume hawezi kukuambia mkiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_lx-SqJ5BPs/Vkje6PcIlbI/AAAAAAAIF-U/GJ96p1Txdjs/s72-c/images%2B%25281%2529.jpg)
HATI MILIKI INAPOPOTEA, HARAKA CHUKUA HATUA HIZI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-_lx-SqJ5BPs/Vkje6PcIlbI/AAAAAAAIF-U/GJ96p1Txdjs/s1600/images%2B%25281%2529.jpg)
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Jakamoyo husababisha mauti, chukua hatua kuliepuka
10 years ago
Vijimambo06 Apr
PITIA HIZI PICHA NA CHUKUA TAADHALI HUKO BARABARANI
Kwa mtaji huu basi ndugu zetu wanaendelea kufupishwa maisha kila siku dreva wa basi anaona kabisa hapa kuna mlima na kuna kona lakini bado ana ladhimisha kumpita mwenzie bila kujali usalama wa abiria ndani ya basi.
Hapa dreva wa basi anachokifanya ni uvunjaji wa sheria bila hata kujali watu waliondani ya basi hili
Madreva kama awa ni hatari sana kwa usalama wa abiria pata picha hapa nini kingetokea na basi hili la abiria na gari hili ndogo.
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/08suhLcc98A/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7U-JG7rftqQvVWGjU-U0d7YVRwOKPkQ1T8iHMleCYHCY2h*bL8Nxt563Ss5ZCoSQumBiH3gx8R3WYQ6XWvOnZhVbEua-ttjM/hepatitiss1liverhepatitisvirus.jpg?width=650)
WATU BILIONI 2 WANAUMWA HOMA YA INI (HEPATITIS B) DUNIANI, CHUKUA HATUA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4aya55KHLO8/XpnLjzyXEcI/AAAAAAALnQY/DIuXrfj8Xcg20HmAlUzcOvj5EjIQOu23QCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
NUNUA KINYWAJI BAA,CHUKUA KANYWEE NYUMBANI...UKIKAIDI TUNAKUCHUKULIA HATUA- DC MJEMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-4aya55KHLO8/XpnLjzyXEcI/AAAAAAALnQY/DIuXrfj8Xcg20HmAlUzcOvj5EjIQOu23QCLcBGAsYHQ/s400/maxresdefault.jpg)
WAKATI idadi ya wagonjwa wa Covid-19 nchini ikifikia 147, Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam imetangaza kupiga marufuku mikusanyiko ya watu kwenye baa zote ndani ya wilaya hiyo na kwamba wanywaji watalazimika kununua vinywaji na kwenda kunywea majumbani.
Marufuku hiyo imetangazwa leo Aprili 17 mwaka huu wa 2020 ,hivyo wamiliki na wahudumu wote wa baa wanatakiwa kufuata maelekezo hayo ambayo ni moja ya mkakati wa Kupambana na virusi vya Corona.
Mkuu...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA KAMPENI YA CHUKUA HATUA MWAKA 2015
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iAAnDKnbiwo/VVLy5a1u9GI/AAAAAAAHW9Y/bE1dDhAq1NE/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: ALIPWA USD 90,000 KWA KUISHTAKI KAMPUNI YA SIMU, NA WEWE CHUKUA HATUA SASA
![](http://1.bp.blogspot.com/-iAAnDKnbiwo/VVLy5a1u9GI/AAAAAAAHW9Y/bE1dDhAq1NE/s320/1.1774256.jpg)
Makampuni ya simu kama Vodacon, Airtel, Tigo, Zantel, Sasatel, na mengineyo yamekuwa yakitenda makosa mbalimbali kwa wateja wao. Mara kwa mara wateja wa simu wamekuwa wakilalamikia matendo ya makampuni haya lakini wengi wao wamekuwa hawachukui hatua zaidi ya kulalamika. Ni watu wachache mno ambao wamekwishachukua hatua za kisheria dhidi ya makampuni haya licha ya uonevu mkubwa wa kihuduma wanaousababisha. Ukiangalia kwa...