Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NUNUA KINYWAJI BAA,CHUKUA KANYWEE NYUMBANI...UKIKAIDI TUNAKUCHUKULIA HATUA- DC MJEMA

 Said Mwishehe, Michuzi TV

WAKATI idadi ya wagonjwa wa Covid-19 nchini ikifikia 147, Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam imetangaza kupiga marufuku mikusanyiko ya watu kwenye baa zote ndani ya wilaya hiyo na kwamba wanywaji watalazimika kununua vinywaji na kwenda kunywea majumbani.

Marufuku hiyo imetangazwa leo Aprili 17 mwaka huu wa 2020 ,hivyo wamiliki na wahudumu wote wa baa wanatakiwa kufuata maelekezo hayo ambayo ni moja ya mkakati wa Kupambana na virusi vya Corona.

Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jakamoyo husababisha mauti, chukua hatua kuliepuka

Binadamu anakabiliwa na hali ya maisha ambayo inamsababishia masumbufu yanayojulikana kama jakamoyo yaani mfadhaiko.

 

9 years ago

GPL

KAULI HIZI NI DALILI YA MWANAUME KAKUCHOKA, CHUKUA HATUA!

Leo mpenzi msomaji wa safu hii, nimekuja na mada mpya ambayo imenisukuma kuwaandikia wanandoa na wapenzi walioko kwenye uhusiano kwa muda mrefu kwani wengi hujikuta wameachwa na kuona kuwa ni ghafla kumbe hawakutambua kwa kujua ni utani. Kauli anazozitoa mwanaume wako ni wazi kabisa kuwa amekuchoka wengi hawazitambui sasa zisome kwa makini na uzielewe.Tukiachana sisi  si wa kwanza
Kauli kama hii mwanaume hawezi kukuambia mkiwa...

 

9 years ago

Michuzi

HATI MILIKI INAPOPOTEA, HARAKA CHUKUA HATUA HIZI.

Hati miliki  ni  mali  inayohamishika  na  hivyo  inaweza kupotea.  Kupotea  kwa  hati miliki  kunaweza  kuwa  katika  mazingira  mengi.  Inaweza kupotea katika  mazingira ya  kuibiwa,  kufichwa  au  kutupwa  kwa  makusudi  kwa   malengo  mabaya  na  mazingira  mengine  yoyote  yanayofanana  na matukio  hayo.  Lakini   mara  kwa  mara  kupotea  kwa  hati  huhusishwa  na  mbinu  chafu  za  kubadilisha  umiliki   pasipo  uhalali  au  kutumika  katika  shughuli  za  kujipatia mikopo   pasi  na...

 

11 years ago

GPL

WATU BILIONI 2 WANAUMWA HOMA YA INI (HEPATITIS B) DUNIANI, CHUKUA HATUA

Virusi vya Hepatitis baada ya kulishambulia ini. Ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu. Virusi hivyo vinaitwa HBV (Hepatitis B Virus).
Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini, mfano mate au jasho.
Watu takribani 1,000,000 wanapoteza maisha kila mwaka duniani kote kutokana na ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B)....

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA KAMPENI YA CHUKUA HATUA MWAKA 2015

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni ya chukua hatua 2015 yenye lengo la kutathmini matokeo ya Milenia ambayo yanafikia ukomo wake Septemba mwaka huu na hivyo kuwa mwanzo wa kupanga malengo mapya baada ya hayo. Uzinduzi huo uliambatana na Vijana wa Kitanzania waliozaliwa mwaka 2000 ambao hivi sasa wana miaka 15 wakielezea nini wangetaka kuona kiafanyika Tanzania kwa miaka 15 ijayo.Mmoja kati ya Vijana wenye...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: ALIPWA USD 90,000 KWA KUISHTAKI KAMPUNI YA SIMU, NA WEWE CHUKUA HATUA SASA

Na  Bashir  Yakub.
Makampuni  ya  simu  kama  Vodacon, Airtel, Tigo, Zantel, Sasatel, na  mengineyo  yamekuwa  yakitenda  makosa  mbalimbali  kwa wateja  wao.  Mara  kwa  mara  wateja  wa  simu  wamekuwa  wakilalamikia  matendo  ya  makampuni   haya  lakini  wengi  wao  wamekuwa  hawachukui  hatua  zaidi  ya  kulalamika. Ni  watu  wachache  mno  ambao  wamekwishachukua  hatua  za  kisheria  dhidi  ya  makampuni  haya licha  ya  uonevu  mkubwa wa   kihuduma   wanaousababisha.   Ukiangalia  kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

DC MJEMA:WANANCHI ACHENI 'KUWAVURUGA' WAKANDARASI

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akizungumza katika kkao cha Manispaa ya Ilala, kuwakabidhi wakandarasi miradi ya ujenzi wa madaraja ya Ulongon A na B jimboni Ukonga katika kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Anatpglou, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mbunge wa Jimbo la Ukonga ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mwita Waitara na Meya wa Ilala, Omary Kumbilamoto. Picha na Richard Mwaikenda.
Baadhi ya wadau wakisikiliza kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Hatua za Italia za kudhibiti coronavirus: Taifa zima kuchukua hatua ya kujitenga.

Matembezi ya raia wa Italia wapatao milioni 60 yamedhibitiwa kutokana na mlipuko. Italia ina idadi kubwa zaidi ya vifo vya virusi vya corona baada ya China.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani