Tunampongeza JPM kwa hatua hizi
Tumepokea kwa matumaini mema mikakati mbalimbali iliyotangazwa na Rais John Pombe Magufuli (JPM) ya kuimarisha mapato ya Serikali kwa kukusanya kodi zaidi na kupunguza matumizi ya fedha ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku safari za nje ya nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziHALMASHAURI YA JIJI YAMPONGEZA RAIS JPM KWA HATUA ALIZOCHUKUA KUKABILIANA NA COVID 19
Kaimu Ofisa Afya wa Jiji la Tanga Hamza Maulidi akizungumza wakati akitoa elimu katika semina ya siku mbili inayotolewa kwa Wasaidizi wa msaada wa kisheria (Paralegals) kutoka halmashauri 11 zilizopo mkoani Tanga.
Programu Meneja wa Shirika la TEWOREC Halima Jabiri Saguti...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Hatua hizi Maliasili zisiishie hapa
WIZARA ya Maliasili na Utalii jana iliwasimamisha kazi maofisa 21 wa Idara ya Wanyamapori. Naibu Waziri wa wizara hiyo, Lazaro Nyalandu, ndiye alitangaza uamuzi huo akisema hatua hiyo inatokana na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1lp73GxRT8bNFDsuLqZV9Ly780CL0EDfteVOsSkZXnyLK8svwyzoW4FOenXmBTCs0UZ-t2fX8PuemzAf8aWxDoECiHmNoVEO/1.jpg?width=650)
JE UMECHOSHWA NA UNAHITAJI TALAKA ? FUATA HATUA HIZI
Na Bashir Yakub Kuomba talaka si dhambi. Kama lingekuwa dhambi sheria isingeruhusu jambo hilo kwakuwa si kawaida ya sheria kuhamasishi madhambi.  Ni kwasababu hii nasema kuwa atakayeona amebanwa basi aombe talaka. Si kosa hata kidogo kufanya hivyo isipokuwa ndivyo tunavyoelekezwa na sheria zetu tunazozipenda na kuziheshimu sana. 1.  KUVUNJIKA  KWA  NDOA. Kuvunjika kwa ndoa kwa mujibu wa sheria zetu za...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_lx-SqJ5BPs/Vkje6PcIlbI/AAAAAAAIF-U/GJ96p1Txdjs/s72-c/images%2B%25281%2529.jpg)
HATI MILIKI INAPOPOTEA, HARAKA CHUKUA HATUA HIZI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-_lx-SqJ5BPs/Vkje6PcIlbI/AAAAAAAIF-U/GJ96p1Txdjs/s1600/images%2B%25281%2529.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ldPIfFy3ff14mbt6fmKw5AXdaZUljHfJrG1iNZDJUHKBni1RqNi9W4WpiR9*NYgKF-nkvCs-VSKdkja61yN00wnizK0fK7XA/highmaintenance.jpg?width=650)
KAULI HIZI NI DALILI YA MWANAUME KAKUCHOKA, CHUKUA HATUA!
Leo mpenzi msomaji wa safu hii, nimekuja na mada mpya ambayo imenisukuma kuwaandikia wanandoa na wapenzi walioko kwenye uhusiano kwa muda mrefu kwani wengi hujikuta wameachwa na kuona kuwa ni ghafla kumbe hawakutambua kwa kujua ni utani. Kauli anazozitoa mwanaume wako ni wazi kabisa kuwa amekuchoka wengi hawazitambui sasa zisome kwa makini na uzielewe.Tukiachana sisi si wa kwanza
Kauli kama hii mwanaume hawezi kukuambia mkiwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jKNlzv7p3YI/VOQ9mYJBI4I/AAAAAAAHEPg/qFMaNCWe8LQ/s72-c/1.jpg)
MAKALA SHERIA: JE UMECHOSHWA NA UNAHITAJI TALAKA? FUATA HATUA HIZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-jKNlzv7p3YI/VOQ9mYJBI4I/AAAAAAAHEPg/qFMaNCWe8LQ/s1600/1.jpg)
Kuomba talaka si dhambi. Kama lingekuwa dhambi sheria isingeruhusu jambo hilo kwakuwa si kawaida ya sheria kuhamasisha madhambi. Ni kwasababu hii nasema kuwa atakayeona amebanwa basi aombe talaka. Si kosa hata kidogo kufanya hivyo isipokuwa ndivyo tunavyoelekezwa na sheria zetu tunazozipenda na kuziheshimu sana.
1. KUVUNJIKA KWA NDOA.
Kuvunjika kwa ndoa kwa mujibu wa sheria zetu za Tanzania kuna mazingira mengi. Baadhi ya mazingira hayo ni yale yaliyoorodheshwa kifungu...
5 years ago
CCM Blog24 May
RAIS KENYATTA NAYE AKUBALI YA JPM, ASEMA HAWEZI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA ZA WAKENYA KUKAA NDANI MILELE
![Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/BC18/production/_112425184_kenyatta.jpg)
10 years ago
Vijimambo20 Sep
HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA
![](https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/v/t1.0-9/1907844_296860830516152_1936768200218849652_n.jpg?oh=3a3c6ce546a7a1c5416e1f3681005be1&oe=54CEAEDE&__gda__=1422949262_1d62cb09b57fa35cca6b5f8edd31248b)
Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kdMiOwfaxveMzcbASCMwuIZ990GVU1v*p9PO*WSzrK595Sjrawryvu3lszbG9IG1sgxySiqG5MlEfZPec6J5M3RrcgOwyKfL/fumaniz.jpg)
HATUA KWA HATUA FUMANIZI X-MAS
Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah Shabaash! Mwanamke mmoja, mkazi wa Mikocheni A, Dar, Catherine Kayombo ‘Catty’ anadai kumfumania mumewe aliyemtaja kwa jina la Excavery Kayombo akiwa na mchepuko alioutaja kwa jina la Mariamu Kauke ‘Mamuu’ ndani ya Sikukuu ya Krismasi ‘X-Mas’, Ijumaa Wikienda limesheheni. Mchepuko… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania